MD mpya wa Tanesco

wewe ni mahakama? au SFO? NI VYEMA TUKAFUATA UTAWALA WA SHERIA

SHERIA ni silaha ya wenye nazo, hujui hilo? Sheria haiko kutetea wanyonge, ni tool ya kuhakikisha wenye pesa wanaishi bila bugudha na walalahoi wanakiona cha moto.
 
Wenye hela kamwe hawafungwi hapa Bongo; kesi ngapi zimeandikwa za madawa ya kulevya lakini husikii hata siku moja mtu kafungwa!! Ingekuwa nchi hii inaongozwa na utawala wa sheria leo hii Rostam, Lowassa, Chenge, Karamagi, Msabaha na Idris rashid wangekuwa Ukonga!! Kwavile ni watu wa VIJISENTI wanapeta mtaani na WAKULU wanawatetea.
 
watu wenye vigezo ivyo wapo chungu mzima, isipokua kua md ktk shirika la serikali ni kama political post kwani wanasiasa wanaingilia mchakato pia, wanasiasa hua wanaweka watu wao ili nao wale, mchakato unaondelea ni wa uvutani wa makundi ya wanasiasa ila sio vigezo, kuthibitisha hilo hata NHC nao hawana Dg mpaka leo ni kwa sababu iyoiyo toka yule wa zamani alipokufa gafla, kwa mfano the acting DG NHC ana uzoefu na ana qualification na experience ya kutosha lakini hathibitishwi kwani wanasiasa wanaona si mtu wao, akiwa DG hawatakula hadi kukawa na rumors minister of the ministry concerned anaingilia mchakato!
ii nchi ya waliwao!
 
Mkuu Bona, umenishitua kusikia kuwa DG wa zamani wa NHC alikufa ghafla. Ninavyojua ni kuwa DG wa zamani (Madekwe) alimaliza muda wake wa utumishi.

Inawezekana siko sahihi. Naomba taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom