MD chuo cha afya Bugando ni hatarii

MD chuo cha afya Bugando ni hatarii

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Naomba mnijuze ada ya mwanafunzi wa mwaka wa 4 anachangia bei gani baada ya mkopo.Dogo anasoma hapo na hunipa bei mpya kila muhula . Keshalipa laki 6 anadai bado 7. Ni kweli?
 
kama humuamini ndugu yako huyo utatuamini vipi sisi usiotujua???
 
Naomba mnijuze ada
mwanafunzi wa mwaka wa 4 anachangia bei gani
baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa
bei mpya kila muhula . Kesha
lipa laki 6 anadai bado 7. Ni
kweli?

Uliza nenda kwenye website yao!
Ila jamaa wanajitahidi kufyatua madaktari MAMBUMBUMBU!
 
Naomba mnijuze ada
mwanafunzi wa mwaka wa 4 anachangia bei gani
baada ya mkopo.
dogo anasoma hapo na hunipa
bei mpya kila muhula . Kesha
lipa laki 6 anadai bado 7. Ni
kweli?

Uliza nenda kwenye website yao!
Ila jamaa wanajitahidi kufyatua madaktari MAMBUMBUMBU sijaona
 
Bugando ni one of the 3 universities wanaotoa best products, nenda rufaa mbeya,nenda mnh,etc utaambiwa walivyo fit,hao mambumbumbu wanatoka imtu,kairuki.pia juhudi binafsi inamatter so ni possible kuwapata mambumbumbu toka muhas,cuhas pia kcmc na ukapata some gud products from imtu na kairuki.
 
tungekuwa tunaweka picha .....mtu kama wewe nakutia sindano kwa sciatic nerve upate paralysis!!!!

Kwa akili yako unaona umeongea kitu kiguumu mbala mkubwa weee...mi ntakufanya upate vasovagal reflex tukuone..usintishe na vijiterms vya kibwege
 
Back
Top Bottom