Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

Anatafuta umaarufu kwa nguvu sana huyu mchungaji. Badala ya leo kuwa kanisani na kondoo wa bwana, yupo busy anahatarisha amani ya nchi.

Naona sasa ni wakati wa kuwawajibisha viongozi wa aina hii ili iwe fundisho na kwa wengine.

Ndugu vipi? imeshindikana kuwajibishana kwenye rada, Richmond, epa, meno ya tembo, meremeta, mikataba mibovu, leo mnataka kumwajibisha mtanzania mzalendo, kwa kauli yake yenye ukweli ndani, HIVI KWELI TUTAFIKA? tafakari sana,
 
Serikali corrupt haikusanyi kodi, inaishia kufukuzana na wafanyabiashara wadogo barabarani (Mwl.Nyerere)
 
Wabunge wa cdm wasipoangalia wengi wao watapoteza uhai wao kwa kufanya mambo kwa kishabiki bila kufuata taratibu!

Muwaue nyie ccm wauwaji wakubwa na sisi raia itafikia sehemu tukiwaona tu viongozi wa ccm au mtu anayeishabikia ccm tunawapiga mawe kwel kwel.
 
Hawa wanamtafutia kesi
mch.Msigwa,haiwezekani kama wamewashindwa wamachinga wamkamate
Msigwa.nadhani huu ni ufinyu wa mawazo wa jeshi la police,ilipaswa wajue
mbunge ni kwa niaba ya wananchi,sasa unapomkamata mbunge ktk tatizo
linalohusu wananchi sijui unategemea nini?

mkuu, naona ndo unazinduka usingizini. tangia asubuhi imeripotiwa kwenye vyombo vya habari kama vile wapo radio na radio tumaini kuwa mchungaji msigwa leo hajaenda kanisani bali ameenda kuhamasisha wamachinga wafanye biashara zao pale stand kuu. kwamba yeye atawasimamia na hawatafukuzwa. amesema kuwa polisi kama wanajifanya wana uwezo basi wamkamate yeye na wataona nguvu ya Mungu na ya umma
 
Mwanasiasa anapambana na maamuzi ya kisiasa kwa manufaa ya kisiasa.

Where is THE LAW OF THE LAND.
Mkuu mimi binafsi huyu Msigwa nashindwa kumuelewa
Anafanya vurugu kwa makusudi ili na yeye aandikwe kama yule kubwa jinga wa Arusha.
Anyway, mwisho wake ni 2015 kwani nitahakikisha anarudi kuuza kisosk pale kihesa
 
Kamuhanda amesifiwa juzi na
lukuvi leo utamuambia nini,lazima azidi kungarisha jina hata kama ni
kuminya haki ya mtu ili mtadi tu ccm wafurahi.....nawashauri ccm
wamuweke msigwa ndani kwani ni mpango wa Mungu mahabusu wakahubiriwe na
pia kupata elimu ya uraia kupitia mchungaji msigwa.

unafikiri watu wa aina hii wanachanganywa na mahabusu wote? wao hutengwa chumba cha pekee sana sana huletewa mtu wa kuwashughulikia kila siku
 
Wanasema unaweza mpiga chura take ukidhania unamkomoa,wakati huo huo yeye akalifurahia teke lako,kwani limemuongezea hatua 100 mbele........POLICE ENDELEZENI MATAKE YENU
 
kimsingi nadhani imefika wakati ambapo watu husani viongozi wanatakiwa kutatua matatizo ya watu kwa maono ya mbali. nadhani ni pande zote zina wajibu wa kukaa na kuangalia ni vipi suala hili la wamachinga linatatuliwa kwa manufaa ya wamachinga wenyewe,halmashauri na taifa kwa ujumla. wamachinga wapo si iringa pekee ni ulimwengu mzima suala serikali kuweka mazingira stahiki na bora kwa kazi zao.serikali inaileza changamoto ya ajira kila kukicha lakini kwa nchi zinazoendelea wafanyabiashara wadogo na biashara ndogondogo ndiyo fursa ya awali ya utatuzi wa tatizo la ajira. kuwafukuza au kuwahamisha wamachinga kwa kigezo cha kusafisha mji c hoja yenye uzito kulinganisha na utafutaji ridhiki na hali ya uchumi wa mtanzania wa kawaida. tunasafisha miji kwaajili ya nani? mji uwe safi huku wananchi wana njaa? au niamini ni tabaka fulani la watu ambao kutafuta ridiki kwa umachinga ni uchafu na uhalifu? HII IMEPELEKEA HATA WALE WANOONA FURSA YA KUJIONGEZEA FURSA KATIKA SHUGHULI ZAO KUJIPENYEZA KIRAHISI. SISEMI NI HALALI KUTAFUTA RIDHIKI BILA KUFUATA UTARATIBU, ILA TARATIBU ZINAZOWANYIMA WATU KUTAFUTA RIDHIKI NI KWAAJILI YA NANI? ILHALI TUNASEMA TUPO KWAAJILI YA USTAWI WA WATU WETU NA WAMACHINGA WAKIWEMO. HALMASHAURI YA MANISPAA IMESHINDWA KUZIONA FURSA AMBAZO ORDINARY CIVILIANS(WAMACHINGA WAMEZIONA) KWA KUSHINDWA KUANDAA MAZINGIRA BORA ILI NAYO IPATE CHANZO CHA MAPATO KWA SHUGHULI NDOGO KAAMA ZA USAFI NA NYINGINEZO. TAIFA HALIWEZI PIGA HATUA KAMA HATUTAPATA VIONGOZI WENYE AKILI NA MITAZAMO YA MBALI. BAADALA YAKE KILA MTU ATAJISHUGHULISHA YE NI MWAMBA KIASI GANI. TUNASHINDWA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KITAIFA VIPI KUHUSU ZA KIMATAIFA
 
Kwa hyo uko ladhi mwenzako auze kiosk afu wewe utembelee vx? and you call urself kiongozi? hao anaowatetea mch msigwa ndiyo watakaomrudisha bungeni kupitia ndugu zao na familia zao,wewe endelea kusubiria tender
 
Yeeees that is a wise decision, bora kumkamata msababishaji wa vurugu kuliko kupambana na wafanya vurugu.

na nyie msipambane na matatizo ya watanzania,pambaneni na chadema kwasababu chadema ndio matatizo yanayowakabili wananchi masikini wa tanzania.
 
Msigwa hajakamatwa ila anatafutwa na polisi,ebony fm wanasema amekimbia,Kamuhanda on air
 
Wewe jamaa unaniuzi kwa maandiko yako ambayo ni ya kipuuzi halafu unatumia jina kubwa, Lumumba.

Maandamano yanakuwa halali mpaka tu yawe yana kibali, umeelewa wewe punguani??

Kamfate Msigwa hapo lumande umuulize kama ana kibali cha kuwaunga mkono hao wamachinga kupitia maandamano.
Siko humu JF kukufurahisha wewe au mtu mwingine yoyote.
Niko humu JF kutumia akili na uhuru wangu katika kuwasilisha mawazo yangu ambayo yana-reflect mawazo ya watanzania wengi wenye Hekima.
Nahisi unanichukia kwa sababu mimi sio mwanaCCM au mwanamtandao wa CCM Lumumba wanaolipwa 7000 kwa siku kuja kupost mashudu humu JF.
Kama post zangu zinakuumiza sana, ninakushauri uache tu kuzisoma.

*Turudi kwenye mada:
1/Maandamano ni tukio la Haki na Amani popote pale duniani. Inakuwaje mtu adai Kufanya maandamano ni kuvunja sheria au kuleta vurugu?

2/Kwa sheria za Tanzania, hauhitaji kibali ili uandamane na wala huhitaji ruhusa kutoka jeshi la polisi ili uindamane. Maandamano ni haki ya msingi ya mtanzania yoyote inayotajwa kikatiba.
Jeshi la polisi linahitaji kutaarifiwa tu ili lije kulinda maandamano yako. Na usipolitaarifu jeshi la polisi, maana yake maandamano yako yanaweza kukosa Ulinzi wa Polisi tu. Ni makosa makubwa kwa jeshi la polisi Tanzania kuzuia maandamano yoyote mahali popote.
 
Anatafuta umaarufu kwa nguvu sana huyu mchungaji. Badala ya leo kuwa kanisani na kondoo wa bwana, yupo busy anahatarisha amani ya nchi.

Naona sasa ni wakati wa kuwawajibisha viongozi wa aina hii ili iwe fundisho na kwa wengine.

Unayasema hayo kwa vile hujapitia maisha ya kimachinga na ukaondolewa mjini unakofanya biashara inayoendesha maisha yako na familia yako na kuhamishiwa porini pasipokuwa na wateja na kuona ugumu wa maisha ulivyo. Cjui na wewe ni fisadi maana ndo wanamawazo mgando namna hiyo
 
Mkuu mimi binafsi huyu Msigwa nashindwa kumuelewa
Anafanya vurugu kwa makusudi ili na yeye aandikwe kama yule kubwa jinga wa Arusha.
Anyway, mwisho wake ni 2015 kwani nitahakikisha anarudi kuuza kisosk pale kihesa

na wewe ka kimya ...naona cameron anagangania apitishe ndoa zenu
 
Back
Top Bottom