Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

Utopolo mtupu kama kawaida yenu watumishi wa mungu unaweza kukuta gogo la mti lilianguka jamaa akawa analitoa barabarani ama mlitekwa na mkamalizana kwa makubaliano ya siri. Hivi wewe unajua roho mbaya ya watu wa porini? Wale hajui cha Yakobo wala Yusuph. Mtu maisha yake anawindana na big cats and cobra aje aogope maneno nyie mlikitana na mabua ya mahindi ama matete tu. Eti gogo nilikatoa barabarani. Endeleeni kuwadanganya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…