Mchungaji na Dereva Taksii

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mchungaji na Dereva Taksii walikufa,walipofika Mbinguni Mwenyeji wao akampa Dereva Taksi mahala pazuri pakuishi, Jumba kubwa maru maru tele, hewa safi,mito ya maziwa na asali na matunda ya kila aina na vitu vitamu vitamu!!
Mchungaji akapewa kijibanda kibayabaya, kitanda cha kamba, kaTV black and white vidirisha vidogo hewa nzito!
Mchungaji akamwambia Mwenyeji wake,
Mchungaji:Nafikiri utakua umechanganya mambo,nilidhani mimi ndo nilistahili lile jumba kubwa zuri zuri, istoshe mimi nilikua Mchungaji, nikienda kanisani kila siku kuhubiri neno la Mungu!!!
Mwenyeji:Ni kweli lakini ulipokua ukihubiri watu walikua wanalala, ila Dereva Taksii alipokua akiendesha gari japo rafu rafu watu walikua wanamwomba Mungu!
 
saluti
 
teh teh teh hapa ndio paleee kausemi ka si kila anaesema bwana bwana atauona ufalme wa mbingu. duh dereva tax kawarudisha kondoo kwa mungu kimtindo bila ye mwenyewe kujua
 
ukiishajua tatizo tafuta ufumbuzi,cha msingi Wachungaji na wahubiri wote, mahubiri yanatakiwa yawe yanayowafanya watu kuwa macho na si kulala,kwa hiyo msiache kuhubiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom