johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,678
- 143,089
Ushoga ni tatizo lakini Uzinzi ni tatizo zaidiMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao
Mchungaji Msigwa amesema kuondoa mabweni kutawaepusha Wanafunzi na mahusiano ya Jinsia moja
Msigwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa twitter kufuatia Serikali kuondoa mabweni kwa shule za Msingi hadi darasa la 4
Sabato Njema!
😆Nchi yetu Usanii mtupu,
Wanajidai kuupinga ushoga
ila sheria iliyopo inapinga ulawiti TU.
Huu Ni unafiki wa kisiasa
Hili linaukweli, maan wengi huanzia huko kusagana na kupigana cylinder!!Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao
Mchungaji Msigwa amesema kuondoa mabweni kutawaepusha Wanafunzi na mahusiano ya Jinsia moja
Msigwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa twitter kufuatia Serikali kuondoa mabweni kwa shule za Msingi hadi darasa la 4
Sabato Njema!
Shida inaanzia hapo aende kujifunza na kujitegemea mara ndo huingia kwenye ule mchezo wa kificho kifichoKwa secondary ziachwe bweni .Kwasababu ni vizur mtoto akifika umri wa miaka 14 akakae bwen angalau aanze kujifunza maisha ya kujitegemea!!tukikaa nao sana nyumban tutaendelea kuzalisha marioo wengi.