Mkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?
Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?
Wakuu, hapa hoja ya msingi ni huku kuboronga kwa Mchungaji Msigwa. kutokana na data zake kutoeleweka, ni wazi kuwa hata kile alichokuwa anakusudia kukisema ni porojo tu al mradi siku iende. Bahati Mzuri Naibu waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene kamueleza mikakati ya serikali katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Hii ni pamoja na mkakati wa serikali kuwekeza kwenye nishati ya gesi ambayo ndiyo mkombozi wa watanzania wengi
Waziri aliielewa message ambayo Mch. Msigwa alitaka kuitoa na ndiyo maana waziri kajibu bila kujali mapungufu ya kitakwimu. Hicho ndicho kilikuwa kinakusudiwa na Mch. Msigwa.
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.
Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.
Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.
Nawasilisha.
Nafikiri ulimi umeteleza alimaanisha hekta 300 Ekari 800 kama maelezo yako ni sahihi!
mkuu unajuaje kwamba anajua?Mkuu, hakika hata alichokuwa anakusudia kusema hakijulikani. sijui alitaka serikali itoe tamko la kuzuia wananchi wasitumie kuni au. n=yaani nimeshangaa sana kwani msigwa anajua kuwa serikali kwa sasa inatekeleza mkakati wa kuboresha nishati ya gesi nchini
Wakuu, hapa hoja ya msingi ni huku kuboronga kwa Mchungaji Msigwa. kutokana na data zake kutoeleweka, ni wazi kuwa hata kile alichokuwa anakusudia kukisema ni porojo tu al mradi siku iende. Bahati Mzuri Naibu waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene kamueleza mikakati ya serikali katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Hii ni pamoja na mkakati wa serikali kuwekeza kwenye nishati ya gesi ambayo ndiyo mkombozi wa watanzania wengi[/QUOTE
Leo hii gunia la mkaa linauzwa si chini ya 45,000 tsh. Na gesi ninayotumia mimi ni 22,000 tsh.(kg 10). Gesi ni rahisi zaidi ya mkaa lakini bado mkaa unatumika kwa zaidi ya 95% Hapa mjini... Tatizo nini? Nijuavyo mimi Watu wengi hawana uwezo wa kutoa 22,000 tsh kwa mara moja..ila wanaweza kununua mkaa wa 2000tsh kila siku. Tatizo ni kipato duni kaka. Sio uwepo au kutokuwepo kwa Gesi.
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.
Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.
Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.
Nawasilisha.
Lizaboni, uko sahihi kwamba hatuhitaji wabunge wetu wasiwe makini ila mimi nilikuwa naangalia zaidi ile key message iliyokuwa imebebwa na swali la Msigwa, swala la precision ya conversion ya units from Acre-Hectare siyo la msingi sana kwenye hoja ya Msigwa. Moreover, swala la precision kwenye statistics ni tatizo kwa wabunge wengi.Mkuu, kwa hiyo wewe umefurahia mbunge kuboronga? au kama waziri na yeye angekuwa na akili za machadema hali ingekuwaje?
Una tarajia nini kutoka kwa mtu aliyekimbia shule na kuzamia Sauzi?
Una tarajia nini kutoka kwa mtu aliyekimbia shule na kuzamia Sauzi?
Chanzo cha kuteleza ulimi ni ukosefu wa elimu
Walau wewe umezungumzia hoja kuuMkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?
Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?