TANZIA Mchungaji Mkongwe wa Kanisa la Waadventista Wasabato Nchini Joram Machage amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
Mungu ampumzishe Salama Mpendwa wetu

Taarifa zaidi kutolewa na Kanisa & Familia

Bwana ametoa
Bwana ametwaa

20130831_124427.jpg
 
R.I.P mchungaji.

Ila kwanini wengine tuseme Amekufa,au kafariki au kupoteza kaisha alagfu wengine tuwape Neno (Usingizi wa umauuti)?

Tusiweke Madaraja hali ya kuwa wenye kuamini huamini Munu ndo ajuaye nafasi(daraja) ya mtu
Hata mimi huwa naona kaubaguzi fulani katika mambo haya;
Mwingine anaitwa Marehemu
Mwingine anaitwa Hayati
Mwingine anaitwa yule jamaa aliyekufa
 
R.I.P mchungaji.

Ila kwanini wengine tuseme Amekufa,au kafariki au kupoteza kaisha alagfu wengine tuwape Neno (Usingizi wa umauuti)?

Tusiweke Madaraja hali ya kuwa wenye kuamini huamini Munu ndo ajuaye nafasi(daraja) ya mtu
Madaraja yapo na yatakuwepo, wengine kaburini husaliwa na mapadri, mashehe, wachungaji, manabii na mitume! Mtu mmoja kaburi moja; wewe je! Huenda utasaliwa na rafiki au jirani yako.
 
Ni yupi sasa hapo kati ya hao 3 waliopo kwenye picha?

Nilipokuwa Musoma nilikuwa namsikia sikia tu,ila sikuwahi kumuona.Nadhani aliwahi kuwa Askofu wa Jimbo la Mara kwa upande wa Wasabato.
 
Wasabato toka jiwe awarudishie ndembela secondary Tukuyu wamekuwa waunga juhudi hadi wanaboa Hasa Viongozi they confuse sana dini na siasa humo humo ... Sabato ya sasa imepoteza misingi Sana...sio kama zamani Enzi zetu za adventures na pathfinder....
 
Ufunuo wa Yohana 14:13

Ufunuo wa Yohana 14:13


Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 

Revelation 14:13


I heard the voice from heaven saying, "Write, 'Blessed are the dead who die in the Lord from now on.'" "Yes," says the Spirit, "that they may rest from their labors; for their works follow with them."
sikuelewagi ujue
 
Back
Top Bottom