Alikaribishwa mchungaji mgeni kutoka Africa Kusini kufanya ibada/mahubiri katika kanisa moja hapa bongo,kwa kuwa ilikuwa lazima kumtafsiri kwa vile hajui kiswali ikabidi atafutwe mkalimani(mtafsiri).Mambo yakawa hivi~~~~
Mchugaji mgeni: My name is Livingstone
Mkalimani:anasema jina lake linaitwa Jiwe linaloishi
Mchungaji Mgeni:I came from Johans'berg
Mkalimani; anasema ametoka katika begi la yohana.
Waumini hoi kwa kicheko
kutafsiri ni wito mkuu
Hii kalimkuu, mambo yaliendelea hivi
mchungaji mgeni; dear christians Jesus is our Lord
mkalimani; mpenzi christina Yesu ni mzigo wetu
hhahahahahahahahahahah kweli nomamkuu, mambo yaliendelea hivi
mchungaji mgeni; dear christians Jesus is our Lord
mkalimani; mpenzi christina Yesu ni mzigo wetu
Habari znasema kuwa iliendelea ........
Mchunga: I have come to heal you!
Mkalimani: Nimekuja kuwafanya mlima!
Mchungaji: The Lord is coming soon!
Mkalimani: Mzingo unaingia hivi karibuni!
Mchungaji😛raise the Lord!
Mkalimani: Bonyeza mzigo!
Ohoooooh!mkuu, mambo yaliendelea hivi