Mchungaji Masanja katika Mapozi mbalimbali

Kuna wakati nasemaga bora niwe mpagani kuliko kwenda kwenye makanisa ya kitapeli

...kwa mtazamo huu hata mimi nakuunga mkono,endelea na upagani usije ukawachafulia wanao amini wokovu upo...!
 
Kuna wakati nasemaga bora niwe mpagani kuliko kwenda kwenye makanisa ya kitapeli

Mkuu Acha wafu wazike wafu wenzao...
Turudi kule kwenye Sports Dirisha la Usajili limepamba Moto..
 
...oohh mkuu asante kwa ufafanuzi, eti jamaa anasema ninyi msipo msifu atainua mawe yamsifu, usimwambie mtu lakini fanya siri mkuu...

Siri ya nini wakati maandiko yapo wazi kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…