Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

Naona director alijaribu kuaanda movie yake lakini kachemka, mpango ulipangwa kuanzia kwa Dr Slaa..halafu kuweka wafuasi feki wa chadema kwenye maandamano,halafu kuanzisha mjadala kwenye mitandao ya kijamii, kiuanzisha udini ....cheap politics, maji taka same to 2010....kumbukeni Watanzania wanabadilika...hapa manajribu kujipanga mnajibizana wenyewe kwa wenyewe but its too late...too late safari hii sio rahisi kama ilivyokuwa kwa Slaa mwenyewe 2010...TBC itarudia na Kurudia kurusha interview ya Slaa..lakini Mtazidi kuongeza nguvu ya ukawa...sasa angalia ujinga watu wanapanga maandamano mpka sauti zao zinarekodiwa....!!!!
 
hili nalo jambo..wala sisa la kubeza na kutukana..angekuwa kiongozi wa dhehebu langu angenifanya nijisikie mnyonge sana. maana anatakiwa kuniongoza katika mema na si kuniingiza kwenye marumbano ya kisiasa!!
 
Waislam wanatakiwa wakiogope sana hiki chama, kina udini sana, bora waipigie tu ccm kidogo kiko neutral. Gwajima ku-attend kwenye inner circles za chadema kwa maslahi gani?

magufuli mwenyew hapindui mbele ya tec,ni mkatoliki safi hivyo lazim atii maagizo toka kwny dheheb na din yake,hivyo hilo haliepukiki
 
Nasikitika kuona watu wenye uwezo mdogo wa kufikili wanasema cdm ni ya kidini naomba mselete hayo mambo hebu niambieni gazeti LA UMMA linamilikiwa na nani mbona lina support ccm so tuseme ccm ni Islamic au cdm hakuna kiongozi wa Islamic jadili mada kama huwez soma comment
 
Kwa uelewa wangu viongizi wa dini wapo neutral katika mambo ya siasa, kwani kindoo wao Ni watu wa kila itikadi. Kazi yao Ni kuweka sawa pale mambo yanapo kwenda ndivyo sivyo kwa mustakabali wa nchi kimaendeleo na amani kwa ujumla. Na ndivyo ilivyo kwa dini zote. Sasa nashindwa kuelewa huyu Gwajima Ina maana wafuasi wake wanafuata itikadi yake pia? Kama ndivyo au LA na aje hapa kuweka sawa.
 
wanaukumbi.

Baada ya dr.slaa kufanya mkutano na waandishi wa habari dar es salaam kumuelezea mchungaji gwajima kama "mshenga" kwenye kutafuta mgombea urais wa chadema kuna kitu wananchi wanataka kufahamu mchungaji gwajima, ana mamalaka yapi ndani ya chadema mpaka kushiriki mchakato mzima wa kumpata mgombea urais wa chadema?

Mchungaji gwajima, tofauti na kuwa kiongozi wa dini ni kiongozi wa chadema pia?

Mchungaji gwajima, anaingia kwenye kamati kuu ya chadema kama nani?

Tunaomba kufahamishwa.


unakumbuka suala la shehe yahya ndani ya ccm na familia ya kikwete??
Mbona salva alisema mawazo yake yaheshimiwe???
 
Wanaukumbi.

Baada ya Dr.Slaa kufanya mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam kumuelezea Mchungaji Gwajima kama "Mshenga" kwenye kutafuta mgombea urais wa Chadema kuna kitu wananchi wanataka kufahamu Mchungaji Gwajima, ana mamalaka yapi ndani ya Chadema mpaka kushiriki mchakato mzima wa kumpata mgombea urais wa Chadema?

Mchungaji Gwajima, tofauti na kuwa kiongozi wa dini ni kiongozi wa Chadema pia?

Mchungaji Gwajima, anaingia kwenye Kamati Kuu ya Chadema kama nani?

Tunaomba kufahamishwa.

Mla mihogo ana cheo gani sisiem mpaka kuingia kwenye mchakato wa kutaka kuligawa taifa kwa kutetea matumbo ya mafisadi?
 
Ni hivi.... Gwajima hana hadhi ya kuitwa kiongoz wa dini ni muhuni flan anayetumia dini kama kichaka cha kutekeleza mambo yake binafsi... Nawashangaa eti ndo anatoa Baraka kwenye mikutano yenu.

Bora hiyo mikutano ya CDM inamkumbuka hata Mungu yenu nyie inapewa baraka na vigodoro halafu mnategemea urahisi mnalo mwaka huuu!
 
Chadema ni chama cha kidini na cha kikanda. Hoja hii wanaikataa kwa maneno lakini wanaitekeleza kwa matendo. Tena wanawachukia sana wakatoliki sijui wamewakosea nini

Ningeshangaa kama usinge jidhihirisha kwani wewe ni kama pepo akisikia ubani pindi ukiliona jina la Gwajima na litawapalia mwaka huuuu mpigwe kwa jina la Yesu
 
Naona majini yako yamemuona tu Gwajima yamelipuka pole

Hii habari nadhani ni vizuri ipeleke kwenye magazeti yote ya kiislamu, Annur, Al-Huda, Imani na kisiwa, ili yaelimishe waumini wa kiislamu juu ya hatari iliyoko mbele,kumbe mchungaji Gwajima ndo anatuchagulia Raisi???? ni hatari hii, currently nimempata mhariri wa Al huda, naomba tusaidiane kuisambaza kwenye magazeti mengine, this is real serious
 


Ningeshangaa kama usinge jidhihirisha kwani wewe ni kama pepo akisikia ubani pindi ukiliona jina la Gwajima na litawapalia mwaka huuuu mpigwe kwa jina la Yesu


povu la nini!! tulia dawa ikuingie msukule wa gwajima...!! haiwezekani gwajima atuchagulie Rais ! Muislam akichagua lowassa ina maana amechagua chaguo la gwajima ...
 
chadema chq kidini?ccm yako 95%ya kamati kuu ni waislam kwahyo unasema nn?
halafu mnajisumbuq sana,sisi tumelogwa na ukawa hamtuyumbishi hqta kidogo.

Wacha uongo, hii hapa Kamati Kuu ya CCM, hiyo 95% umeitoa wapi? Kwa mshenga Gwajima?

Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.

1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Dr. Ally Mohamed Shein 3. Phillip Japhet Mangula 4. Abdulrahman Kinana 6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal 7. Mizengo Kayanza PeterPinda 8. Balozi Seif Ali Iddi 9. Anna Semamba Makinda 10. Pandu Amir Kificho 11. Rajab Luhwavi 12. Vuai Ali Vuai 13. Nape Moses Nnauye 14. Mohammed Seif Khatibu 15. Zakhia Hamdan Meghji 16. Asha Rose Migiro 17. Sophia Simba 18. Sadifa Juma Khamis 19. Abdallah Majura Bulembo 20 Jenister Mhagama 21. William Lukuvi 22. Steven Masato Wasira 23. Emmanuel John Nchimbi 24. Pindi Chana 25. Jerry William Slaa 26. Adam Kimbisa 27. Shamsi Vuai Nahodha 28. Hussein Ally Mwinyi 29. Maua Daftari 30. Samia Suluhu 31. Salim Ahmed Salim 32. Makame Mbarawa 33. Hadija Abood
Nafasi zilizo wazi:
34. Anna Kajumulo Tibaijuka (ametolewa kutokana na kashfa ya Escrow) 35. Salmin Awadhi (amefariki)
Kabla ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012 wenyeviti wastaafu (taifa) na makamu wenyeviti wastaafu (taifa) walikuwa wajumbe wa kamati kuu. Kwa sasa wana nafasi yao kama Baraza la Ushauri ambalo wajumbe wake ni hawa wafuatao:
1. Ally Hassan Mwinyi - Mwenyekiti 2. Pius Msekwa - Katibu 3. Benjamin William Mkapa - Mjumbe 4. Aman Abeid Karume - Mjumbe 5. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
Hawa wazee wa Baraza la Ushauri wana nafasi yao katika ushauri kwa kamati kuu kuhusu wagombea urais. Vikao vyao havina kalenda hukutana tu pale linapokuwa jambo muhimu na mahususi linalohitaji mawazo yao.
Maamuzi ya Kamati Kuu ni kwa consensus (busara/common sense), sio kura.

 
duh gwajma mwenyewe ana kashfa ya kuiba mke wa mbasha na kuzaa nae. then anajiita askofu halafu anatumika kuwahonga maaskofu then huyo huyo anaingia kwenye kamat kuu ya chadema kumtafuta mgombea wa urais. HIV HUYU GWAJMA ANA CHEO GAN CHADEMA AU AMEPEWA MAJUKUMU YEPI NA CHADEMA. HEBU TUPEN JIBU LILILONYOOKA.
 
Hii habari nadhani ni vizuri niipeleke kwenye magazeti ya Annur, Al-Huda, Imani na kisiwa, ili yaelimishe waumini wa kiislamu juu ya hatari iliyoko mbele yetu,kumbe mchungaji Gwajima ndo anatuchagulia Raisi???? ni hatari hii

Fanya haraka kwani angeshiriki mganga wa kienyeji(mchawi) kwako isingekuwa tabu ndio sababu huwa nakwambia kubali uombewe una majini na hasa yakiona tu watumishi wa Mungu.
 
fanya haraka kwani angeshiriki mganga wa kienyeji(mchawi) kwako isingekuwa tabu ndio sababu huwa nakwambia kubali uombewe una majini na hasa yakiona tu watumishi wa mungu.

dogo utatoa sana mapovu, habari ndo hiyo, tushashtukia mchezo, asante slaa umetuamsha, kama ni majini majini yako kwenu ndo maana kila siku mnahangaika kuoana, na ni business kubwa ya huyo mzinifu mwenzako gwajima
 
Chadema wanajulikana ni wadini tena sasa wamejidhihirisha wazi kuwa wao wanaupinga hata ukatoliki.

Gwajima alishamtukana Pengo wazi wazi.

Naona viongozi wa chadema hilo walilifurahia sana na kumkumbatia Gwajima, sasa tunaelewa kumbe hata Rais anawachagulia yeye.

Hatuwezi kabisa kumpa kura Rais aliyesimikwa kugombea na Gwajima.

No.
 
Back
Top Bottom