Mchungaji atembezwa uchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji atembezwa uchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.Toyo, Nov 21, 2011.

 1. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WACHUNGAJI wanane wa makanisa ya Kipentekoste wanaotoka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Arumeru wamezihama nyumba zao na kwenda mafichoni wakihofia kukamatwa, kuvuliwa nguo, kutembezwa mitaani na kutozwa faini dume la ngÂ’ombe baada ya kudaiwa kwenda kinyume na mila, desturi na taratibu za jamii hiyo kuhusu sherehe za tohara kwa wanaume.

  Waliokimbia nyumba zao kwa hofu hiyo ni pamoja na Mchungaji Edward Supeeti, Simon Sivai, Joel Hamisi na Loi Langasi huku wengine wakiwa ni Loishinde Mollel, Jonas Lebulu na Geofrey Jacob.

  ENDELEA ZAIDI HAPA.
  SOURCE: Mchungaji atembezwa uchi, saba wakimbia nyumba
   
 2. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni mapito tu Mungu atawasaidia,pole zao kwa pamoja tuendelee kuwaombea ili waumini wao wafunguke,
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wale wamejitakia wenyewe,yani naweza kusema wamejaribu sumu kwa kuonja,maana mmoja amekimbia rika bila taarifa yeyote,hao wengine wamechukua maamuzi yao ya kibinafsi ya kuwafanyia vijana ambao ni rika jipya tog.ara kienyeji, Na ikawagharimu (ITAWAGHARIMU SANA) mpk watatamani wasingekuwa kabla hilo lengwa. Wakome kabisa na washikishwe adabu!
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  sawa wafugaji hongereni kwa kudumisha mila na desturi zenu.Nalog off
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbona ccm ipo uchi na hatuikimbii?
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Aisee, ndio maendeleo after 50 years ya uhuru
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  .. what exactly are you trying to say?
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna nini cha ajabu?
   
Loading...