Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,342
Na hasa ukiona mchungaji anaenda nyumba kwa nyumba .Ukiona hivyo na sadaka zimepungua hivyo
Kama unampenda kapikianeniNampenda Raisi John Pombe Magufuli.
Mchungaji Sadaka zimegoma eeh?
Imenikumbusha mbali. "I am as broke as a Saturday's priest waiting for Sunday's collection".Na hasa ukiona mchungaji anaenda nyumba kwa nyumba .
Hivi chagadema mmechanMchungaji wa KKKT usharika wa Karanga Dayosisi ya Kaskazini , Fred Njama ametahadharisha kwamba sikukuu ya Krismasi mwaka huu haitakuwa nzuri kama miaka iliyopita .
Alitaja sababu za hali hiyo kuwa ni wananchi kuathiriwa na mzunguko wa fedha , ukosefu wa ajira na mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu .
" Nimekwenda ibada ya nyumba kwa nyumba unakuta vijana wana degree zao nzuri lakini hawana ajira , wengine hawajapata mikopo , mioyo yao inaumia , watoto wangetamani nguo lakini hali si hali "
Chanzo - Mwananchi .
Kama wizi umekomeshwa kwa 78% sekta ya umma, what do you expect then?Hapo hajatabiri kitu labda kachelewa tuu kujua .
Swala ni kwamba hali ni mbaya hapo hamna cha utabiri wala sizani kama ameumiza kichwa kufikiria/kutabiri bali hali ni mbaya haswa kifedha