Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Ndoa kama angekuwa nayo tungejua tu. yeye ni mtu maarufu hawezi kuwa na ndoa halali isijulikane.Mropokaji huna uhakika Ila umeshaconclude na kulaumu na kuhukumu wenzako
Ni sehemu hiyo hiyo ya makosa, ingwa hii ya kwako unaweza kuwa unatengeza minzani.Kuna shehe mmoja nae tunae hapa jirani yetu kila siku lazima amuombee wema apate mtoto.
Sasa akimaliza kuomba c inabidi atest kama anaweza NASA???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji102]Tutasikia sasa hivi kuwa Wema ana mimba ya huyo "mchungaji"
Testing lazima. Na Muombewaji hana ubavu wa kukataa.Sasa akimaliza kuomba c inabidi atest kama anaweza NASA???[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji102]