Huyu mwanamke inaonekana alikua anaumwa maeneo hayo na ndio maana akawa analalamika kuwa yanauma wakati pastor anayashika. Si unajua wakati unaombewa unatakiwa kushika au kushikwa sehemu inayouma
Nina mashaka kama hiyo kamera ilikuwa imetegeshwa kwa sababu kuna muda position ya kushoot ina badilika, pia mwisho si unaona inamfuata dada anapokuwa anatoka mle ofisini!! Kwa mtizamo wangu hii ni movie...