OnePlus Nord CE
Senior Member
- Feb 5, 2019
- 176
- 347
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
huyo mchungaji kama jina lake linaanzia na G nakushauri mpe tu naskia anakata mauno sana ila ndo ujiandae kisaikolojia yeye mwisho wake ni dakika moja na sekunde thelasini tu..Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Napingana na wewe, imagine umempenda binti ukaamua kupeleka barua kwao na wazazi wake wakakuruhusu umuoe, then ukamchukua ukamweka ndani bila kufunga ndoa na Mungu akawajaalia watoto. Je hiyo siyo ndoa? Au ndoa ni kusherehekea na kualika watu kula pilau na kuwatangazia huyu ni mume/mke wangu?Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Its simple eti mume wangu huyu ananitaka,nimkubalie? kisha unasubiri utashi wa mume!Hivi kweli mkuu, unaishi na 'mwenza wako' unaenda kukopa mkopo wa biashara bila kumshirikisha? Ni surprise unamuandalia?
Hainiingii akilini huyu mama wa watoto watatu
Kama wanaishi nyumba moja,huyo ni sawa na mumeSikiliza dada,