tatizo lenu nyie wakina mama sijui wadada mnapenda kuwaingiza watu majaribu sana, wewe unenda kuomba milioni mbili usawa huu ulitegemea nini? mimi ninavyoju muumini ndie anampa hela au chochote mchungaji wake au kiongozi wake wa dini na si kiongozi wako akupe pesa!
achana nae kama ni kweli hela sio ishu utapata tu anza kidogo kidogo utapata zakwako zisizo na mambo kama hayo ya ngono nk.
lakini pia jitahidi kutafuta ndoa kwanza zaidi ya mtaji, ila usimwambie mume wako jambo hili au mtu yoyote alie karibu na mume wako au mchungaji wako.
Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Uliambiwa watumishi wa Mungu wanachunwa bure?
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mwambie ukweli, usimzungushe.Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Wewe huna mume, una mwanaume.Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.