Mchungaji aliyekuwa CHADEMA ajiunga cuf muda huu

Unyanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
402
Reaction score
83
Katika mkutano wa lipumba hapa sgd mchungaji anayefahamika kwa jina la mchungaji sombi amejiunga na Cuf na kurejesha kadi ya chadema na kisha kukabidhiwa ya cuf na profesa lipumba n

Hapa akirudisha kadi ya cdm
 
Haahaaah chama cha mazuzu Lol.... UDINI na porojo ndio sera zenu
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!
 
hahahaha uzushi mtupu mchungaji gani ana jina la hivyo? kama kweli leteni jina lake kamili. Kazi kueneza udini tu
 
Kigoma wameikimbia na kuisusa na sasa wachungaji nao wanaiacha
 
Yeah, ukihitaji cheo cha haraka haraka, nenda kwenye taasisi yenye itikadi tofauti kwani itahitaji kubalance fikra za watu, Bila shaka huyo Mchungaji atadaka uongozi fulani huko CUF
 
mbona wengi wamevaa vibalaghashia ndiyo gwanda la chama?
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

CCM yenyewe ina wachungaji lakini hatusikii propaganda za udini!
 
Ni uamuzi wake, kisiasa siyo mambo yote watu hukubaliana. Ndio maana kuna vyama vingi tofauti tofauti kwa hiyo naye ametimiza haki yake ya kikatiba.

Namtakia mema huko alikoenda!
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

Rejao,

Umefufukia huku?Hivi CCM,CUF na CHADEMA kuna itikadi zinazofanana hapo?
 
Anaitwa mchungaji godfrey sombi

Muwe mnatoa habari kamili siyo nusunusu...unaelezea majina yake kamili na alikuwa anaongoza dhehebu gani na liko wapi, yeyote anaweza kujiita mchungaji au sheikh si unajua watu wanatafuta pa kutokea? na hivi CUF ilishasahaulika.
 
Kama hyo habari umeiona nusu haya lakini jukwaani hakukutambalishwa alikuwa mchungaji dhehebu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…