Gillah A Maggh
Senior Member
- Nov 4, 2013
- 132
- 16
Rubangura huyu ni mtu wa wapi huyu?
Acheni hizo. Huu ni mtego tu uliwekwa ili kuua huduma na kutawanyisha kondoo. Huu ni mpango wa shetani kwani ameona kanisa ni tishio kwa ufalme wake. Mtu Wa Mungu arudi atubu na aendelee na kazi ya Bwana kwani Mungu angehesabu makosa yetu hakuna ambaye angesimama. Waumini wake wamshike mkono mchungaji wao mkono na kumwaibisha shetani. Amen.