Mchungaji akamatwa na Polisi akituhumiwa kumnajisi Mwanafunzi

...tena sio 13 Mkuu. No 12 maana Binti anasema walianza mwaka 2019!

Hivi 'Mguu' wa Mwaume unaweza kuingia kwenye 'Kijaluba' cha Binti wa Miaka 12 kweli???...ama labda Mchungaji alikuwa na Kibamia??
Binti alishazoea hiyo Hali na alikuwa anaona utamu??? Kwann alikuwa hasemi kuwa nafanyiwa vitendo vi ovu. Na mchungaji wake

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu kinawezekana, si ajabu anaunga mkono Upinzani hiyo wanambambikia kesi. Nasema lolote linawezekana... akabaka kweli au akasingiziwa kwa tabia za polisi wetu na siasa za jiwe kwa wapinzani
 
Haya sasa mwingine Tena huyu

Yule padree kuna mliokuwa mnasema kwamba mabinti was miaka 16 17 Ni wakubwa blaahh blaah kibao sheria itungwe upya

Haya huyu mchungaji kaamua kumtafuna mtoto wa mjukuu wake kabisa maana kwa umri wake kumtafuna mtoto wa miaka 13 duhhh hiyo Ni zaidi ya laana hata shetani hakusemeshi
 
Lo huyo mchungaji ni shetani kabisa. Huyo mtoto sawasawa na kitukuu kwake, kwa nini asiende kuomba wazee wenzake wamhudumie?
Aibu kubwa kwa uzee wake!
 
Wanaume wahurumieni watoto wetu
Mtuonee huruma sisi wamama mtakuja kutuua kwa presha🙏
Na wamama tukae na watoto wetu wa kike tuwaambie ukweli sio kuficha mambo ukitegemea mdogo akitoka nje anakutana na zee lililo changanyikiwa lina mdanganya
 
Na wamama tukae na watoto wetu wa kike tuwaambie ukweli sio kuficha mambo ukitegemea mdogo akitoka nje anakutana na zee lililo changanyikiwa lina mdanganya
Kuwaambia tunawaambia tena sio wa kike tuu hata wa kiume, siku hizi wanaume wakware hata hawachagui jinsia!!
Wazazi tunaongeaaa, walezi wanaongea na kuwahusia watoto kila kuchao.... Na hao mafataki nao wanaongea yao.
Kulea hakuna ufundi, kuharibika kwa mtoto haijawahi kuwa furaha ya mama, zaidi huwa maumivu makali hadi siku ya mwisho
Tumwombe Mungu sana alee na sisi
 
Back
Top Bottom