mchumba

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
natafuta mchumba ..mimi nipo single, nina kazi ,usafiri,nyumba ndio nimeanza kujenga,naishi dsm.umri wangu haujazidi 30 na haujapungua 27.
ninayemtafuta
-Awe mtanzania(nchi zingine sitaki)
-awe na elimu yoyote
-awe na mtoto au asiwe naye
-awe na kijungu cha maana(sio cha kichina)
-awe tayari kuvaa mapigo ninayoyapenda(sio maoveroli)
-awe mwaminifu kama mimi
-awe tayari kushirikiana na mimi kimawazo
-dini yoyote
-awe na kazi ama asiwe na kazi sio tatizo
-asiwe mtumia mkorogo
-awe na nyodo,asiwe amezoeana na wanaume wengine bila jambo la maana.
-awe muelewaji
(akae akijua kuwa kucheat hakutakuwa na msamaha kwani hata mimi sitokuja kumcheat..sinaga hizo tabia, kwangu hazian mashiko )
naruhusu PM yoyote kutoka kwa wadada wa kitanzania tu....Ilove you Tanzanian ladies.
i pad3
 
Do masharti yote hayo....wewe umekamilika kihivi. Naona bora utengeze wako unle
 
madame unataka vigezo gani tena zaidi ya hivyo? nipe vyako unaweza kukuta unavyo ninavyovitaka sema unaogopa tu
 
-awe na kijungu cha maana(sio cha kichina)
-awe tayari kuvaa mapigo ninayoyapenda(sio maoveroli)
-asiwe mtumia mkorogo
-awe na nyodo,asiwe amezoeana na wanaume wengine bila jambo la maana.

Hizo zimenishinda hasa hiyo ya nyodo, mimi napenda kukenuka na kila anayepita.
 
sasa madame jamani mbona hizo ndio rahisi sana, kama unajichubua kama wakongo ni kitendo tu cha kuacha basi, kma una la mchina sio tatizo kiviile,mapigo ninayoyapenda nina uhakika nitapenda mapigo yako,kukenulia watu mimi sitakuwa nashida sana ilimradi tu hutoi mambo nje.
karibu...ni kupm kabisa?
 
natafuta mchumba ..mimi nipo single, nina kazi ,usafiri,nyumba ndio nimeanza kujenga,naishi dsm.umri wangu haujazidi 30 na haujapungua 27.
ninayemtafuta
-Awe mtanzania(nchi zingine sitaki)
-awe na elimu yoyote
-awe na mtoto au asiwe naye
awe na kijungu cha maana(sio cha kichina)
-awe tayari kuvaa mapigo ninayoyapenda(sio maoveroli)
-awe mwaminifu kama mimi
-awe tayari kushirikiana na mimi kimawazo
-dini yoyote
-awe na kazi ama asiwe na kazi sio tatizo
-asiwe mtumia mkorogo
-awe na nyodo,asiwe amezoeana na wanaume wengine bila jambo la maana.
-awe muelewaji
(akae akijua kuwa kucheat hakutakuwa na msamaha kwani hata mimi sitokuja kumcheat..sinaga hizo tabia, kwangu hazian mashiko )
naruhusu PM yoyote kutoka kwa wadada wa kitanzania tu....Ilove you Tanzanian ladies.
i pad3

hapo kwenye nyekundu kunatunyima nafasi siye tusio navyo. Jamani vijungu vinakazi gani kwani? Mbona mnafanya wanawake wasionavyo wakose raha. Na hii ndo inafanya hata mchina akahitajika! Badilikeni wakaka!
Haya ngoja tuwaachie wenye vijungu wachangamkie.

Halafu hapo kwenye bluu, unamaana unataka mwanamke mshari au? au umesahau 'si'?
 
ivi hua na mm najiuliza mara kibao ni kwanini wakaka wengi wanapenda wadada wenye vijungu......hua vinasaidia nini jamani cha muhimu uaminifu na mapenzi ya kweli basi
 
ina maana hakuna mdada single hapa JF? jamani mimi sitanii tukishaelewana nakupatia facebook page yangu na skype ili ujue kuwa nipo serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom