Mchumba wangu ni mkorofi ananikashifu

mwanamke anatoa wapi ujasiri wa kutamka maneno kama hayo mkuu???piga chini huyo atakusumbua.
 
Dogo acha kulialia wewee....hapa jf ukichukua bila kuchanganya na za kwako utajuta baadae...

nenda hospital na mimba yako ukapime kama dr hatokuambia punguza uzito basi ujuwe demu hakupendi...wewe miaka 32 tayari mchumba anakuona unakitambi ukioa akaanza kukaangiza si ndio utakuwa kama le mutuz kibamia kinapotezwa na ndambi ndambile....

Haya anapokuambia jipange ndani ya miaka miwili mufunge ndoa unalialia utadhani ushajiweza wakati unaishi kwa dingi na kazi yako ya mshahara tgs 25 take home laki na nusu....jipange anzisha vitega uchumi mbadala ili akiingia ndani awe msaidizi wako na sio mtumwa wako....

wewe lialia hoo mchaga wa marangu mara hooo sijui nini...hayo yote aliyokuambiwa unatakiwa uambiwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati...

she feels insecure being or getting married to a fat ass and futureless nigga...wake up that ass and get serious money and serious fuckin body fo that white chagga pussy....you understand me or just standing under me?
 
Hahaha... Najua unachotafuta na unachotaka... Nitakupatia sasa hivi...
Yeah.. It is killing mioooooooo.. Vile nakurukia rukia tehteh.... Hata saivi Nakuja unipatie.... Tena Nakuja mwenyeweeeeeee usihangaike kunifata [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sasa kukuambia upunguze kitambi ndo imekua nongwa sema tu umemchoka
 
mwanamke anatoa wapi ujasiri wa kutamka maneno kama hayo mkuu???piga chini huyo atakusumbua.
ninachojiuliza kesho baada ya kumuoa anaweza akakwambia jambo lingine ambalo utekelezaji wake unakuwa mgumu
 
Mmmh nilikua nae Kama uyo nilipiga chini mzeee
 
Atakua kapata mchepuko usio na ktambi
 
Mpe mimba!! Ata kuagiza pemba, bamia!!

Huta sikia tena wimbo wa miaka 2
 
Huyu sio wko wewe unasindikiza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…