Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,894
- 2,228
mtie mimba
Hahaha... Najua unachotafuta na unachotaka... Nitakupatia sasa hivi...I like your body
Yeah.. It is killing mioooooooo.. Vile nakurukia rukia tehteh.... Hata saivi Nakuja unipatie.... Tena Nakuja mwenyeweeeeeee usihangaike kunifataHahaha... Najua unachotafuta na unachotaka... Nitakupatia sasa hivi...

Atakua kapata mchepuko usio na ktambiJamani wana JF naombeni ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye nataka nimuoe ila vigezo na masharti naona kama vile hanipendi huyu mwanamke.
Kwanza anataka nipunguze kitambi, wakati kitambi chenyewe ni kidogo tu anasema inamkera kuwa anataka niwe gentleman au modal.
Je wakati tunaanza mahusiana kitambi hakukiona, nina miaka 4 sasa tangu tuanze mahusiano, cha pili anataka nimsubirie miaka miwili toka sasa wakati mi umri unazidi kwenda now am 32 years old.
Je, nifanyaje?
Huyu sio wko wewe unasindikiza tuJamani wana JF naombeni ushauri,