Mchumba wangu ni mkorofi ananikashifu

Mchumba wangu ni mkorofi ananikashifu

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Jamani wana JF naombeni ushauri,

Nina mchumba wangu ambaye nataka nimuoe ila vigezo na masharti naona kama vile hanipendi huyu mwanamke.

Kwanza anataka nipunguze kitambi, wakati kitambi chenyewe ni kidogo tu anasema inamkera kuwa anataka niwe gentleman au modal.

Je wakati tunaanza mahusiana kitambi hakukiona, nina miaka 4 sasa tangu tuanze mahusiano, cha pili anataka nimsubirie miaka miwili toka sasa wakati mi umri unazidi kwenda now am 32 years old.

Je, nifanyaje?
 
Lazima akuchoke tu we miaka minne yote hyo aisee huna malengo..yaan degree ya sheria hyo..na kukwambia kua miaka miwili msubir kuna sehemu nyingene kaona hyo anakuzuga tu..ili ujikate jina mwenyewe...
 
Gentleman na kitambi vina uhusiano gani enyi watanzania?
 
jamani nimwage huyu shemeji na wifi yenu? nimpotezee mazima? japo sifa alizojaliwa sijaona mwanamke mwingine mwenye nazo
 
Kama kakwambia upunguze kitambi si upunguze tu mkuu,au we unakipenda??akikupa option ya kuchagua kitambi na yeye utachagua nn?
 
Jiweke pembene mkuu. Mambo yameshakushinda hapo
 
Leo atakuambia toa kitambi kesho utamuoa atakuambia uuze figo muishi vizur
 
Hivi wasichana hawapendi vitambi na je kwanini?
 
Back
Top Bottom