Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

ukute watu walikua wamebanana sana hapo msibani kiasi kua alikosa hewa safi ya kutosha na hivyo kupelekea yeye kuzimia
 
Hapo subiri siku na mkufunzi naye afe utajua kilichokua kinamliza huyo unayemwita mpenzi wako
 
kabila sijachangia stop generalize things SEMA NINA MPENDA SIO TUNAPENDANA USIUSEME MOYO WA MPENZI WAKO

pili angekua anazimia misiba yote ingekua ni kifafa mshukuru mungu kazimia huo
NAJUA UNAWAZA UMEGONGEWA LAKINI PIA MSHUKURU MUNGU MUME MWENZIO KAFA UMEBAKI MWENYEWE UNATAKA NINI TENA????

Kwamba ashukuru mungu mume mwenzie kafa. hahahahaha.
 
Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko hospital .je nijue mini kati ya mchumba Wangu na mwalimu wake au nichukulie kawaida?naomba ushauri

Njia kuu ya mwenzio ndio mchepuko wako....
 
Asha kufa umebaki wewe tu amna haja ya kulalama tena.... rule of the jungle survival of the fitest..

Aliyekufa ni mama wa mkufunzi (mama mkwe?), alipomwona mkufunzi (mwana wa marehemu) akazima.

Kwa wafanya ujasiliamali tunaiita hiyo ni 'stiff competition'.

Hahaaa, huyu boya live, mkufunzi anapendwa hadi ndugu zake, dadeeeki!!
 
Wewe ulijuaje kama alimwangalia mkufunzi wake ndo akazimia
Awazalo mjinga ndilo linalomtokea.
 
Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko hospital .je nijue mini kati ya mchumba Wangu na mwalimu wake au nichukulie kawaida?naomba ushauri

Yawezekana ni shock tu mzee tulia kwanza uone mambo yanakwendaje
 
kabila sijachangia stop generalize things SEMA NINA MPENDA SIO TUNAPENDANA USIUSEME MOYO WA MPENZI WAKO

pili angekua anazimia misiba yote ingekua ni kifafa mshukuru mungu kazimia huo
NAJUA UNAWAZA UMEGONGEWA LAKINI PIA MSHUKURU MUNGU MUME MWENZIO KAFA UMEBAKI MWENYEWE UNATAKA NINI TENA????

Sahihisho: aliyekufa ni mama wa mme mwenzie.

ushauri: Amuue na yeye mama yake aone mke wao kama atazimia pia.
 
Aliyekufa ni mama wa mkufunzi (mama mkwe?), alipomwona mkufunzi (mwana wa marehemu) akazima.

Kwa wafanya ujasiliamali tunaiita hiyo ni 'stiff competition'.

Hahaaa, huyu boya live, mkufunzi anapendwa hadi ndugu zake, dadeeeki!!
aaah kumbe nikajua mkufunzi kafa kumbe ni mama yake..... basi ajiandae kuingia porini
 
Kuchapiwa si hoja, hoja kufumania. Hujafumania unalialia kama kereng'ende. Watakucheka watu.

LOOH MI SITAKI KUFUMANIA

HATA NIKIA,BIWA MUMEO KAINGIA GUEST NAENDA MUWAIT HOME LOL niahafuamniaga zamani huko tena ni kaboyfurend loooh nilitota mijasho kama nasonga ugali
 
Back
Top Bottom