Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko hospital .je nijue mini kati ya mchumba Wangu na mwalimu wake au nichukulie kawaida?naomba ushauri