Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

You nailed it brother
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ila kuna kosa moja kubwa sana ulifanya... Kosa la kupekua simu yake bila ridhaa yake kwa asilimia mia moja.... Ni vema usitafute matatizo bali yaache matatizo yaje yenyewe.... Hakuwa na jinsi ya kukukatalia na hakupenda ugomvi.. Huyo kwangu bado ni mwanamke bora
Kosa la pili ulilofanya ni kuondoka bila kumpa nafasi ya kujieleza.... Haya mambo yapo, hasa mnapokuwa mbali mbali... Kuna ngono na kuna mapenzi... Si kila tunaolala nao tuna mapenzi nao, sometimes ni situation tu.....
Huwezi kujua alikuwa anapitia maisha gani, furaha zake, huzuni zake changamoto zake, upweke, stress nk...
You still have the chance to make it again... We are all not perfect, sisi si wakamilifu, tuna mapungufu ya kila aina... Amekosea sawa lakini kumuacha kuna maumivu mengi kuliko ku reconsile....
Kakosea hii ni mara ya kwanza you still have chances... Mrudie kwa upendo mlitengeneze hili anaweza kuja kuwa mwanamke bora kama ulivyokwisha kusema mwenyewe... Mpe nafasi ya kujutia alivyofanya lakini bila manyanayaso, bila kebehi bila matusi.... Safari ya mapenzi, mahusiano mpaka ndoa huwa ni ndefu na changamoto ni nyingi... Ichukulie hii kama changamoto, ameteleza hajaanguka, mshike mkono msonge mbele
Una shock ya kile ulichokiona... It happens! Chukua muda kutafakari jinsi ulivyowekeza kwake... Tukio hili lisizime ndoto yenu kubwa... Ndoa ni zaidi ya ngono
Usijiumize usijitese! Kama yuko tayari kujutia na kutengeneza... Fanyeni hivyo sasa... Utaokoa maumivu mengi


Jr
 
Tafuta mzee mwenzako,watoto wanasumbua
 
hata wewe umejaa ukosoaji usio na tija, nawe umejaa kitunguu maji kichwani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa ananipigia sanaaa simu, sms nyingii sanaa ananitumia, dada yake mmoja kanipigia sana simu kumuombea msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wablock wote, watakuingiza mkenge and this time around ndiyo utaibiwa zaidi ila kwa usiri na usmart hivyo hautagundua kinachoendelea.
Hapo ni kama umepatiwa ufunuo umjue uhalisia wake sasa unawaza tena kurudia kulekule? You'll regret.
 
content umeielewa?
kama hujaelewa muombe arekebishe.
au ipotezee,sio lazma uchangie
 
Hivi watu wa sampuli hizi wapo tu? Au hii ni mara yako ya kwanza kupenda?

Anyway, hujachelewa, wanawake wazir, na waaminifu ni wengi, tuliza akili yako, usikurupuke. Halafu neno la bure, usiwe km fisi hujiwezi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza nakushukuru sana kwa maneno mazito yenye faraja ndani yake, nazidi kuyatafakari maneno yako. Stay Blessed Bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi inakuwagaje watu wenye upendo zaidi kwa wenza wao ua wanasalitiwa sana?
pole sana mkuu jipe moyo na usonge mbele maisha ni lazima yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Braza nakosa jibu kabisa, but binafsi nimefanya sanaa utundu huko nyuma, na sasa ikafikia muda nitulie niache ujinga ndo haya yamenikuta.
ASANTE Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,

Inatakiwa sasa ukuwe rafiki yangu,

Nakupongeza kwa kuwa umewajua hawa viumbe pendwa wanawake, ndio mama zetu bibi zetu dada zetu wapenzi wetu pia a.k.a kikokotoo cha nafsi zetu,

1. Pia na wewe una makosa rafiki, japo hujaweka wazi sana,, bado hujatoa mahali huna ubavu wa kulalamika kokote kule,, hata mama ako mzazi ni aibu kumwambia hili swala,, limalize ndani ya ubongo wako mwenyewe,

2. Umbali sio chanzo cha wewe kusalitiwa hata ungekaa naye chumba kimoja,,

3. Tatizo nahisi hujamfunua vizuri,, yaaani ulikuwa bado hujamkata kiu, Hizi papuchi ukipewa nafasi maliza maujanja na maufundi yote, mle kama samaki anavoliwa pande zote.

4. KAMA UNA MOYO MKUBWA MSAMEHE TU, ILI MAISHA YAENDELEE,, NDO ukubwa huo

5. NIKUAMBIE TU UKWELI RAFIKI,, HII TABIA YA KUMFATILIA MWANAMKE - NI NZURI/MBAYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…