mzuli-mzuriWakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya Leo, Mimi ni Kijana mwenye umri Wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu Mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa, basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi yakanoga ndipo nikapanga mwezi Wa 11 mwaka 2017nikajitambulishe kwao kwa kupeleka posa, basi jmosi hii nilichokiona kimeniuma sana binti alikua kazoea kuja kwangu kila weekend ,ghafla akabadilika ,akasema jmosi hii hatokuja kwan anaumwa alafu tulikua tunachati Mara kwa Mara ghafla siku hiyo mawasiliano yalikata, basi nikajifariji kua Wenda kwa sababu anaumwa atakua kalala ama kachoka nikaenda zangu kupepesa macho ghafla demu wangu kapita kabebwa na pikipiki kufatilia wanaingia maeneo ya gest na jemba imeniuma sana
Sitorudia mkuuMama yako mdogo alipokuambia anakufaa, alikuwa na maana ya uliyoyafanya au
Siku nyingine akikupatia mwingine muulize ni kama yule?
Bora, usirudie kosaSitorudia mkuu
Hamna demu hapo..OvaWakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya Leo, Mimi ni Kijana mwenye umri Wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu Mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa, basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi yakanoga ndipo nikapanga mwezi Wa 11 mwaka 2017nikajitambulishe kwao kwa kupeleka posa, basi jmosi hii nilichokiona kimeniuma sana binti alikua kazoea kuja kwangu kila weekend ,ghafla akabadilika ,akasema jmosi hii hatokuja kwan anaumwa alafu tulikua tunachati Mara kwa Mara ghafla siku hiyo mawasiliano yalikata, basi nikajifariji kua Wenda kwa sababu anaumwa atakua kalala ama kachoka nikaenda zangu kupepesa macho ghafla demu wangu kapita kabebwa na pikipiki kufatilia wanaingia maeneo ya gest na jemba imeniuma sana
Ahaaahahhahhahahahhaahhahhhaahhahhahahahhahaahhaahhaahhahahahhahahahhahahahaahhahhaahahahahahaahha dooooohhhh kali mnooooo hata mie nimeshangaaa aseeeemiaka 31 unajiita kijana??wewe ni mzee mkuu
kugongewa ndio nini?Kwahiyo wakiitwa " Walio gongewa " na wewe utatoka mbele? β’πππ