nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
....kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale...........anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale ...
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
Dah munkari hakiyamungu una kiherehere!!! Kila topic umo tu...dah!!! Nataka kukuchumbia...
hahaha! Ukiona hivyo ujue imenivutiaaaa! Btw unamahari ya kiasi gani,mrefu?handsome?unamiliki nini,elimu yako,umri,una mastercard,account yako inashngapi?kabila lako,unakula mara ngapi kwa cku,unameno mangapi?dushe je? UKIWEZA KUJIBU HAYO KWA USAHIHI NA UFASAHA basi utakuwa umejipatia mke loh!
It seems kuna kaukweli hembu nipe experience na mimi nina tatizo kama la mtoa thread,yani hata mki solve mwezi haupiti anarudia kama kawaida -ukitaka kumuacha tu atafanya kila njia hata kujihimia gheto asubuhi na mapema analiaaa........Kama economically upo njema hiyo ndo sababu ya yeye kutotaka kukatisha uhusiano....
nina mda naye mwaka 1 sasa ananishangaza jambo 1 kwamba kila nikimpigia cm majibu yake ni ya mkato mwisho anamalizia ninakazi tutaonge baadae na baadae yenyewe apigi nikimpigia ma jibu yaleyale sasa bc nikitaka kusitisha mahusiano nikimwambia tu anaanza kulia kuomba msamaa ikipita mda mambo yaleyale kiukweli simuelewi uyu wangu ukizingatia nilishaenda kujitambuplisha kwao.:help:
Munkarihahaha! Ukiona hivyo ujue imenivutiaaaa! Btw unamahari ya kiasi gani,mrefu?handsome?unamiliki nini,elimu yako,umri,una mastercard,account yako inashngapi?kabila lako,unakula mara ngapi kwa cku,unameno mangapi?dushe je? UKIWEZA KUJIBU HAYO KWA USAHIHI NA UFASAHA basi utakuwa umejipatia mke loh!
Una akili wewe!Kama economically upo njema hiyo ndo sababu ya yeye kutotaka kukatisha uhusiano....