Mchumba wangu huyo amependeza jamani?

mi nataka nielekeze wanakochora hivo this week end nikachore ua moja tuu la mguuni kama nimevaa kikuku baasi.
 
,,,,, kuangalia hii picha nahisi harufu ya "UDI"..... hopo kibaba umeogeswa maji ya mdarasini........ halafu kule nanihii kumeandaliwa tayari kwa......... halafu mwenyewa haja vaa nanihii...
 
Mh na kweli maana wengine muda sio tatizo!
Kama wewe unapata muda wa kukaa stuli ndefu, yeye kwa nini asipate wa kukaa kuchorwa? Ni mgawanyo wa majukumu

mi nataka nielekeze wanakochora hivo this week end nikachore ua moja tuu la mguuni kama nimevaa kikuku baasi.
Mie nachora mamito, kwa bei chee. Hebu ntafute

we umesema ester kafanywa nini?
Ester gani, mbona wataka kunisingizia?

Hiyo ndio Fasheni mkuu King'asti Msifie usimkandie mpenzi wangu ahhhh
Sasa boss unanionea. Of all the people mie ndo nimemsifia mpenzio kuliko wote. Ila tu reservation yangu na kuzingatia dini rangi ya kucha imeharibu sunnah ya mtume. Au nakosea?
 
Kama wewe unapata muda wa kukaa stuli ndefu, yeye kwa nini asipate wa kukaa kuchorwa? Ni mgawanyo wa majukumu

Mie nachora mamito, kwa bei chee. Hebu ntafute

Ester gani, mbona wataka kunisingizia?

Sasa boss unanionea. Of all the people mie ndo nimemsifia mpenzio kuliko wote. Ila tu reservation yangu na kuzingatia dini rangi ya kucha imeharibu sunnah ya mtume. Au nakosea?
usijali hayo ni mapambo ya muda akifikisha siku 7 tangu aolewe kila kitu kitafutika atakuwa kama kawaida tu bibie King'asti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom