Mchumba wangu hanitaki na tumeishi naye miaka 3

Ni
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri

Ni gharama gani hizo unazozungumzia?

Unamchumbiaje mwanamke kwa miaka3 na bado aendelee kukuamini kwamba kuna siku utamuoa?pole sana kwani huo ni mwanzo tu wa safari yako ya misukosuko ya mapenzi ktk maisha,utakutana na mabaya zaidi ya hayo.
 
Mbona unamwombea mwenzio mabaya tena mshauri tu
 
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
umekaanaye kinyumba au umekaa naye vipi?fafanua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom