Mchumba wangu hanitaki na tumeishi naye miaka 3

Mchumba wangu hanitaki na tumeishi naye miaka 3

Sasa tukushauri nini.??..nikwamba umesha achwa na ukubali umeachwa na tafuta mwingine..ila this time be very careful!! Siku hizi kuachwa ni kawaida sana...na wewe sio wa kwanza wala wa laki..mpo wengi sana..
 
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Unachanganyikiwaje sasa!! Usikubali kuchanganywa man!!
Alafu mpaka unaandika uzi JF jua hujachangantikiwa uko sawa tuu sema umetoka kwenye reli kidogo na ni rahisi kurudi!
Life is too short ukae unamuwaza mtu mmoja wakati wapo wengi out there!!
Gharama sio kesi, wanasemaga vijana "hasara roho, pesa makaratasi"..
Jifunze ku move on utafika mbali...
 
Aah achana naye ukiona mwanamke kawa jeuri jua kuna buz linamchanganya kwa ahadi nzuri,usiendeshwe na mapenzi utanyanyasika sana
 
Pole inaonekana ulikuwa ume relax hukazi gem freshi
Ukipata mwingne ukaze kila siku
 
Hivi mpaka awamu hii ya tano bado kuna wanaume wana muda wa kulilia wanawake?
 
Kama hakutaki angalia ustaarabu mwingine maana huwezi mlazimisha akupende
 
Kwanza mwanamke ana umri gani? Ukute ameona wewe mzinguaji! Miaka mitatu mnaishi pamoja ata kuweka Pete kidoleni uliweka? Wanaume wengine mnatafutaga lawama tu! Wanawake siku hizi especially walio above 20 yrs hawataki wanaume wapoteza mda. Tena kama anaona una uwezo wa kuoa.
 
Mchumba asiekutaka baada ya kumpotezea gharama nyingi huku akiwa hana sababu ya msingi, si wa kumlilia. Wanawake wako wengi, acha wehu!
 
Sawa japo tangazo lako lipo vere vere tricky,

Basi subiri PM waje wenye huruma zao.
 
Jifunze kumuacha aende tu.
Gharama kwenye mahusiano jambo la kawaida tu
 
wewe wacha uboya bwana...mwanamke ni wakugegedwa na kupotezea sio wakulilia bwana
 
Miaka mitatu unasema mchumba bro!!! Me nasimama upande wa mwanamke,ameona huna mwelekeo wa kumhalalisha,na si ajabu amekuomba sana ufanye hivyo ukawa unampiga chenga,halafu unakuja kulia humu.kakuvumilia mangapi?
 
Nimechanganyikiwa siwlewi hata nifanyaje!! mchumba wangu hanitaki na nimeshapoteza gharama nyingi juu yake leo hanitaki na hana sababu yyte!!
nmechanganykiwa naombeni ushauri
Hawezi kukukataa kama hana sababu.....

Hebu muulize vizuri kisha urudi
 
Katika mapenzi jifunze kuwa kuna kuacha,kuachwa,na kukimbiwa so ukishajiingiza humo uwe tayari kukabiliana na lolote,ila mwenzetu unaonekana ndo umeanza kupenda miaka ya karibuni hivyo hiyo hali ikabili kwa kumsahau kupitia mtu mwingine au kufanya kazi itakayokuingizia kipato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom