Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi nyumba mmoja !!!!mimi nitakua mke mkubwa lakin yule mwenzangu atakae letwa atakua mke wa pili yaani roho inaniuma sana hata kama imani ya dini inaruhusu hivo mm nashindwa kukubaliana nae?naombeni mchango wetu hapa nipo na mawazo ya kuvunja huu uchumba na nikiangalia taratibu zote za ndoa zimefanyika je nifanye nn?nikatae au nikubali?maana hili swala ameniambia baada ya kuvaa pete ya uchumba na family zote wanajua?je niwahi kwa ostazi atakae funga ndo kutoa taarifa au nifanye nn?uke wenza siwezi

nimependa jamaa alivyokwambia ukweli kabla hujaingia ndoani, halafu nakushangaa eti hujui cha kufanya wakati na wewe umekuwa wazi hapo kwa red
Sa unataka unakimbia nini dada, wakati umesema Imani yenu inaruhusu!!Tulia hapo hapo ukikimbia basi WE SI MUUMINI WA IMANI YAKO..........JF rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:noidea:
Dada umelazimishwa kuolewa na huyo?
Wanaume wameisha?
Dini ni hiyo tuu?
Kama hukubaliani na mambo ya dini yako inamaana unaiasi dini hiyo,si uachane nayo tu?
Kuendelea kwenye dini usiyokubaliana nayo kwenye mambo nyeti kama hayo ni kujiumiza na kujidanganya!!!!!!!!
Tatizo nampenda
ukuje nikupeleke kwa mubabu unamupigwaga munyungu na kumuzika miakili inamusahau huyo kuwuwa tena
Mbona amejihami mapema hivi, labda yupo anaempenda zaidi yako.basi nenda kwa OSTAZI.
Mbona yeye hakupendi?Tatizo nampenda
Tatizo nampenda
M christian yy iman yake ndio inamruhusu

Tatzo nampenda nikiachana nae nitaumia sana pia wanaume wapo lakin nitaumia