pole sana lakini stori fupi hivi na yenyewe to be continued jamani,utafikiri unalipia nafasi gazetini khaa!!
Kenda ku-confirm na mchizi wake ambae pia ni m-sure wake kama ameshakula mzigo au yupo kwenye process!! Dogo yupo makini, hataki kuongea yasiyo na uhakika.