Mchumba wangu anatoka na baba yangu (part 1)

Mchumba wangu anatoka na baba yangu (part 1)

Dr.Mwakasege

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Mwanzo nilihisi naota lakini kadri siku zinapo jongea ndipo nagundua kwamba ni hali halisi,
Nilianza mahusiano na huyu msichana nikiwa Form 2 muda kidogo baba akaja kuona picha ya huyu wangu,akaniuliza lakini bila kumficha nikamwambia kila kitu coz mimi na baba tulikuwa kama mtu na mdogo wake,baada ya hapo akaja kuona namba yake kwenye simu yangu na hapo ndipo nilpo fanya kosa.... akachukua ile namba bila ya mimi kujua cku mimi cna ili wala lile kumbe mzee kamrukia hewani......(to be continued)
 
Pole sana,

Labda baba aliona unazembea, akaamuwa kukupiga bao....

Ila hii dunia sasa hivi inatia kichefuchefu....!
 
hawa madingiwa hivi watata ,ila ngumu kuamini
 
pole sana lakini stori fupi hivi na yenyewe to be continued jamani,utafikiri unalipia nafasi gazetini khaa!!
 
pole sana lakini stori fupi hivi na yenyewe to be continued jamani,utafikiri unalipia nafasi gazetini khaa!!

Ndio taabu ya Bongo Movie yaani wanaigiza hata sehemu inayotakiwa mtu uwe serious!
 
Another Mjeda......
hivi kapotelea wapi yule mjeda jamani? namtafuta sana na mbaya zaidi nimesahau ID yake
 
Another Mjeda......
hivi kapotelea wapi yule mjeda jamani? namtafuta sana na mbaya zaidi nimesahau ID yake

hahahahaha kwa jinsi ulivyo mpana unatamani alete story nyingine
 
Hahahaaaa... comments zenu zanichekesha kweri. Dr. Mwakasege anatafuta ushauri na nyie mnazani utani. Lol
 
Dogo baba kaona hujafunzu vizuri kwenye hilo somo akaona akusaidie sasa wewe
unamind nn usijali ukikua utajua tu haya mambo yanavyokwenda
 
Pole sana,

Labda baba aliona unazembea, akaamuwa kukupiga bao....

Ila hii dunia sasa hivi inatia kichefuchefu....!
ukishangaa ya meli kuelea wakati shillingi inazama utayaona ya baba kumtia demu wa mwanae
 
No!

siyo kama mnavyo fikiria jamani hiyo ni scene ya moja ya Muvi ya Dr. Mwenzangu hapa Mbeya.....
llllll...oooooo.....llllllllll!!

Ila Part 2 ya hii ni baada ya coments 50...
 
Chai isiyo na sukari alias Chai Chungu...labda yuko busy anatunga hadithi nyingine tamu au lindo limekuwa kali hata muda wa kuandika hapa jamvini umempiga chenga.

Another Mjeda......
hivi kapotelea wapi yule mjeda jamani? namtafuta sana na mbaya zaidi nimesahau ID yake
 
Back
Top Bottom