Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Dah hii c laana 2 jaman smtimes ni ushirikina yawezekana masharti kapewa jaribu kumfatilia vzr
 
kama aliweza kutembea na babake wakati anaishi kwao na ndugu zake, nini kitamzuia kuendelea kutembea nae baada ya kuolewa? Labda baba anapata wazimu akiwaza kushare tu.
Yeah
Ku-share ni jambo moja. Anakua na wivu sana.
But pia alikua akiipata anytime, now inabidi avizie.
 
tuwe makini na washabiki wa mpira wanaokaa bar mpaka usiku wa manane huku wakinywa soda pekee!
 
tuwe makini na washabiki wa mpira wanaokaa bar mpaka usiku wa manane huku wakinywa soda pekee!

Yanakujaje tena haya mkuu? naona umetulenga baadhi yetu "live",
Sisi tunahusika vipi na hii story mkuu wangu?
 
Ukimwoa huyo binti, baba mkwe ataweza kuja kufanya mapenzi a wajukuu wake (kama utazaa watoto wa kike na huyu binti/girlfriend yake)
 
Unafikiri kwa nini imekupasa ujue kabla hamjaoana? Ninakushauri umwache hiyo roho itawafuatilia kizazi hata kizazi amini usiamini... Najua unampenda ila pengine Mungu anakupenda zaidi ndo maana hajakuficha uovu unao nyemelea familia ya ukoo wako ujao. Think Twice! Usingejua no problem
 
Tuna miaka miwili tangu tuanze uhusiano,
Mwanzoni tulikuwa wapenzi wa kawaida ila baadaye tulikubaliana kuoana,
hivi karibuni nimemtambulisha kwetu kisha nikaanza maandalizi ya kwenda kwao
Ndipo nilipoanza kusikia maneno mengi kutoka kwa watu wa karibu na familia yao
mara eti huyu binti amewahi kutoa mimba ya babake mdogo,mara anatembea na baba yake!
awali niliyapuuza nikijua ni uzushi ila baadaye niliamua kumbana ili anipe ukweli,
ilichukua mda mrefu ila baadae alikiri kuwa na uhusiano na babake mdogo kijana aliyekuwa akiishi hapo kwao ila kwa sasa alishaondoka,pia alikiri kutoa mimba ya huyo baba mdogo ila anadai ni zamani kabla hatujafahamiana,alikana kutoka na baba mzazi,
Kwa kuwa nampenda naye anaonesha kunipenda nilisamehe ila siku moja wazazi wake walienda kwenye sherehe na kurudi saa 5 usiku mama akiwa amelewa ila baba yake hatumii kilevi,
Tulikuwa tunachart kwa sms na yeye ndiye aliyenifahamisha kila kitu,
Ilipotimu saa 6 usiku alidai anataka kulala hivyo tustop kuchat(ingawa kwa kawaida huwa anapenda tuchart mpaka saa 8)
tuliagana ila baada ya nusu saa niliamua kumpigia cm ili nimkumbushe kitu,
cha ajabu alipokea cm na kuongea kwa ukali huku akinieleza kuwa atanipigia baadae usiku huo!
nilianza kuhisi jambo baya hivyo nilikodi tax na kuelekea mtaa anapoishi,
nilipofika kwao nilienda mpaka kwenye dirisha la chumba chake ili nimgongee,
lakini kabla sijafanya chochote nilisikia sauti za watu wakifanya mapenzi!
nilijaribu kupiga cm yake akawa hapokei
nikaamua kurekodi sauti kupitia dirishani kwake!
mchezo huo ulidumu takriban DK45
ndipo nikapiga tena akapokea ila akawa haongei !
kwa jinsi nilivyompenda nilijipa moyo na kuondoka mpaka pembeni na nyumba yao nikakaa mpaka alfajiri ili nione nani atatoka ndani kwani niliamini aliingiza mtu bila wazazi kujua hivyo lazima atatoka mapema,
Lakn cha ajabu ilipotimu saa 11 alfajiri nikampigia tena cm akapokea nilipomweleza kwamba amenisaliti na kwamba nimeshuhudia nikiwa dirishani alianza kulia na kushindwa kuongea,!
mpaka kunakucha hakuna mwanaume aliyeonekana akitoka nje ndipo nilipoanza kuamini inawezekana alikuwa na baba yake mzazi kwani kipindi hiki hakuna kijana anayeishi hapo,
Kesho yake alikuja kwangu nikampa cm asikirize nilivyorekodi dirishani alisikiliza mwanzo mpaka mwisho akaanza kulia
akasema hakuwa na mwanamme ila alilala peke yake!
Kingine kinachofanya naamini anatoka na mshua wake:-
>yeye ni mtoto wa pili ktk familia ila anapendwa na baba kuliko watoto wote hata kadi za benki anatunza yeye!
>Haelewani na mama yake mzazi kila kitu ananunuliwa na babake!
>nyumbani wako waschana 3 ila wengine wanalala chumba cha pamoja yeye analala peke yake na chumba chake hakina mlango,
>Babake ni shabiki wa mpira mara nyingi akienda bar kuangalia mpira akirudi usiku wa manane humgongea dirisha huyu binti ndo amfungulie geti!
>Japo alikiri kutoa mimba ya babake mdogo inasemekana aliwahi pia kutoa mimba nyigine ya babake mzazi kwani majirani wanadai mimba ya kwanza alitoa akiwa form2 ya pili akiwa form 3 na hii ya mwisho ilijulikana mpaka shuleni na ilifika miezi mitano ila cha ajabu familia ilikuwa kimya!
>Maelewano ya kifamilia baina ya baba na mama yamepungua mpaka mama yake anataka kuondoka!
>watoto wote wanamtetea mama ila binti anamtetea baba na kusema mamake ana tabia mbaya!
Wadau mnaonizidi umri naombeni ushauri wenu,nampenda sana na nimeshajipanga kumwoa hata yeye ananipenda sana kwani alinivumilia nikiwa katika kipindi kigumu kimaisha, Ila katika hili niko njia panda...!

chumba cha binti hakina mlango??????????????
 
Braza we kama si boya basi ulimpata huyo kwa zali.

Kumuoa huyo ni kuhalalisha kumegewa maisha yako yote wewe na uzao wako pia.
kama yeye anamegwa na mshua nawe unachukulia poa,siku akimegwa na mwanao wa kiume utarudi tena humu kwa ushauri??????

Tafuta mwingine wewe,toa mambo yako hapa eti unampenda-umelogwa nini!
 
mbona kama nilishaskia habari kama hii inamhusu machana mmoja anaeishii maeneo ya Mbezi ya kimara au sio huyo?
 
Sidhani kama unahitaji msaada wa fikra kwenye hili mpaka hapo kulala na baba yake mdogo na sio kua amebakwa bali kwa
ridha yake mwenyewe huyo sie kabisa manake hana mwiko hata mwanawe anaweza kulala nae....
 
Halafu ni ya uwongo kabisa!. Mwishoni anasema kuwa binti ndiye anayefungua Geti siku dingi akirudi kutoka kutazama mpira. Yeye usiku huo alipoenda kumrekodi Binti ni nani alimfungulia Geti? Kumbuka kuwa mama kalewa, hajiwezi na Dingi wakati huo anadoo na binti. Nani alimfungulia Geti?

Mosha inaelekea umeisoma juu juu kwa haraka. Soma tena, halafu piga mahesabu yako vizuri kwenye geti na dirisha.
 
Ushahidi unaotumia kuhusu baba yake bado nidhaifu sana. Kwa kawaida sisi wanaume tunawapenda sana binti zetu, unataka kusema bint yangu ndiye meneja wangu mie namchapa? Endelea na uchunguzi
 
Back
Top Bottom