Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Hii topic ilitakiwa iwe "Aliyekuwa mchumba wangu anatembea na baba yake, nikamuacha"
Siku hzi naona kuna wanaume "diplomatic" kweli aisee...
 
Pole sana. Dah yan nmejikuta natetemeka kuandika. Hiyo hali ipo na kuna binti flan wakati nasoma a-level, yeye ilikuwa live na alikuwa akimtukana mamayake na kugombana nae kama mke mwenzie,na kadri siku zilivoenda,akahamia kwenye apartment yake na dady wake ndo alikuwa akilipa. Nasikia kaolewa na ana watoto now.
Back 2topic: ingawa binti anaonekana mapepe,Tumia hekima na busara,Kaa nae umwonye tena,then kama unandugu zake unaelewana nao em ongea nao wakusaidie,then kama unania nae muhame mkoa kabisa,nadhan angalau itasaidia,then after najua utakuwa ushapata njia on how to-mdhibiti yeye.
hauwezi kua sirias mtu amelala na baba yake tangu form 2..hivi atashindwa kulala na mwanae kweli..u cant be serious kabisa
 
..... analala peke yake na chumba chake hakina mlango,
..... akirudi usiku wa manane humgongea dirisha huyu binti ndo amfungulie geti!
Mkuu, Hapo kwenye hiyo Quote natatizika kidogo, kama Chumba chake hakina Mlango, sasa yeye huingiaje humo Chumbani, ama anaingilia kwenye hilo Dirisha ambalo Dingi anamgongeaga.
Ila all in all, Jaman Dunia imekwisha, mamajack , hebu njoo uone haya mambo maana ulinishambulia mnooo kwenye ile issue ya Beki 3 wangu, snowhite , hebu njoo uendelee kutoa Darsah kwa mamajack jinsi sie Wanaume including Baba Jack tulivyo SnowBall , Speaker , wakuu mmeiona hii kali ya kufungia mwaka????
 
Last edited by a moderator:
Ni hadithi ya kufikirika tu. Kwa kweli duniani kuna watu! yaani kabisa unatusimulia hiki kisa na bila woga unaomba ushauri?????
Huyo binti ni mtu ama pepo? na wewe una akili ama??
samahani hata wanaokushauri umuoe nawashangaa. Siamini kama duniani kuna stori kama yako!!
mhhhhhhh, baba mdogo.....; baba mzazi.....; mimba....; fomu tuu....;mhhhhhhhhhhh.:A S-confused1:
 
Kaka achana na huyo mwanamke ni shetani. Atakuja kukuangamiza
Tuna miaka miwili tangu tuanze uhusiano,
Mwanzoni tulikuwa wapenzi wa kawaida ila baadaye tulikubaliana kuoana,
hivi karibuni nimemtambulisha kwetu kisha nikaanza maandalizi ya kwenda kwao
Ndipo nilipoanza kusikia maneno mengi kutoka kwa watu wa karibu na familia yao
mara eti huyu binti amewahi kutoa mimba ya babake mdogo,mara anatembea na baba yake!
awali niliyapuuza nikijua ni uzushi ila baadaye niliamua kumbana ili anipe ukweli,
ilichukua mda mrefu ila baadae alikiri kuwa na uhusiano na babake mdogo kijana aliyekuwa akiishi hapo kwao ila kwa sasa alishaondoka,pia alikiri kutoa mimba ya huyo baba mdogo ila anadai ni zamani kabla hatujafahamiana,alikana kutoka na baba mzazi,
Kwa kuwa nampenda naye anaonesha kunipenda nilisamehe ila siku moja wazazi wake walienda kwenye sherehe na kurudi saa 5 usiku mama akiwa amelewa ila baba yake hatumii kilevi,
Tulikuwa tunachart kwa sms na yeye ndiye aliyenifahamisha kila kitu,
Ilipotimu saa 6 usiku alidai anataka kulala hivyo tustop kuchat(ingawa kwa kawaida huwa anapenda tuchart mpaka saa 8)
tuliagana ila baada ya nusu saa niliamua kumpigia cm ili nimkumbushe kitu,
cha ajabu alipokea cm na kuongea kwa ukali huku akinieleza kuwa atanipigia baadae usiku huo!
nilianza kuhisi jambo baya hivyo nilikodi tax na kuelekea mtaa anapoishi,
nilipofika kwao nilienda mpaka kwenye dirisha la chumba chake ili nimgongee,
lakini kabla sijafanya chochote nilisikia sauti za watu wakifanya mapenzi!
nilijaribu kupiga cm yake akawa hapokei
nikaamua kurekodi sauti kupitia dirishani kwake!
mchezo huo ulidumu takriban DK45
ndipo nikapiga tena akapokea ila akawa haongei !
kwa jinsi nilivyompenda nilijipa moyo na kuondoka mpaka pembeni na nyumba yao nikakaa mpaka alfajiri ili nione nani atatoka ndani kwani niliamini aliingiza mtu bila wazazi kujua hivyo lazima atatoka mapema,
Lakn cha ajabu ilipotimu saa 11 alfajiri nikampigia tena cm akapokea nilipomweleza kwamba amenisaliti na kwamba nimeshuhudia nikiwa dirishani alianza kulia na kushindwa kuongea,!
mpaka kunakucha hakuna mwanaume aliyeonekana akitoka nje ndipo nilipoanza kuamini inawezekana alikuwa na baba yake mzazi kwani kipindi hiki hakuna kijana anayeishi hapo,
Kesho yake alikuja kwangu nikampa cm asikirize nilivyorekodi dirishani alisikiliza mwanzo mpaka mwisho akaanza kulia
akasema hakuwa na mwanamme ila alilala peke yake!
Kingine kinachofanya naamini anatoka na mshua wake:-
>yeye ni mtoto wa pili ktk familia ila anapendwa na baba kuliko watoto wote hata kadi za benki anatunza yeye!
>Haelewani na mama yake mzazi kila kitu ananunuliwa na babake!
>nyumbani wako waschana 3 ila wengine wanalala chumba cha pamoja yeye analala peke yake na chumba chake hakina mlango,
>Babake ni shabiki wa mpira mara nyingi akienda bar kuangalia mpira akirudi usiku wa manane humgongea dirisha huyu binti ndo amfungulie geti!
>Japo alikiri kutoa mimba ya babake mdogo inasemekana aliwahi pia kutoa mimba nyigine ya babake mzazi kwani majirani wanadai mimba ya kwanza alitoa akiwa form2 ya pili akiwa form 3 na hii ya mwisho ilijulikana mpaka shuleni na ilifika miezi mitano ila cha ajabu familia ilikuwa kimya!
>Maelewano ya kifamilia baina ya baba na mama yamepungua mpaka mama yake anataka kuondoka!
>watoto wote wanamtetea mama ila binti anamtetea baba na kusema mamake ana tabia mbaya!
Wadau mnaonizidi umri naombeni ushauri wenu,nampenda sana na nimeshajipanga kumwoa hata yeye ananipenda sana kwani alinivumilia nikiwa katika kipindi kigumu kimaisha, Ila katika hili niko njia panda...!
 
Jiolee ndg yangu C umempenda na Anakupenda? We jiolee tuu.full suport na Mchango ntakuchangia........ Wangekuwa wanatafuna wengi kweli lkn Dingi mdg na Mshua mwenyewe na wewe unakuwa wa 3? JIOLEE ndg yangu.
 
Good investigation na inaonesha huyo dada ni type ya wale walioshindikana, naomba upige u-turn! Halafu 'kuoana' ndio nini?
 
kwanza mtoa mada huna akili kupenda gani huko?cjawahi ona aisee!yaani unaomba ushauri,mi nilifikiro ulishamwacha?..ss basi oa then uone mkipata mtoto wa kiume akibalehe km hata tembea nae!dah!kweli wonders shall never end!!
 
Aiseee muoe tu, halafu akiomba kwenda kusalimia wazazi wake umruhusu tu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom