Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fundifundisho, Sep 28, 2012.

 1. F

  Fundifundisho Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuna miaka miwili tangu tuanze uhusiano,
  Mwanzoni tulikuwa wapenzi wa kawaida ila baadaye tulikubaliana kuoana,
  hivi karibuni nimemtambulisha kwetu kisha nikaanza maandalizi ya kwenda kwao
  Ndipo nilipoanza kusikia maneno mengi kutoka kwa watu wa karibu na familia yao
  mara eti huyu binti amewahi kutoa mimba ya babake mdogo,mara anatembea na baba yake!
  awali niliyapuuza nikijua ni uzushi ila baadaye niliamua kumbana ili anipe ukweli,
  ilichukua mda mrefu ila baadae alikiri kuwa na uhusiano na babake mdogo kijana aliyekuwa akiishi hapo kwao ila kwa sasa alishaondoka,pia alikiri kutoa mimba ya huyo baba mdogo ila anadai ni zamani kabla hatujafahamiana,alikana kutoka na baba mzazi,
  Kwa kuwa nampenda naye anaonesha kunipenda nilisamehe ila siku moja wazazi wake walienda kwenye sherehe na kurudi saa 5 usiku mama akiwa amelewa ila baba yake hatumii kilevi,
  Tulikuwa tunachart kwa sms na yeye ndiye aliyenifahamisha kila kitu,
  Ilipotimu saa 6 usiku alidai anataka kulala hivyo tustop kuchat(ingawa kwa kawaida huwa anapenda tuchart mpaka saa 8)
  tuliagana ila baada ya nusu saa niliamua kumpigia cm ili nimkumbushe kitu,
  cha ajabu alipokea cm na kuongea kwa ukali huku akinieleza kuwa atanipigia baadae usiku huo!
  nilianza kuhisi jambo baya hivyo nilikodi tax na kuelekea mtaa anapoishi,
  nilipofika kwao nilienda mpaka kwenye dirisha la chumba chake ili nimgongee,
  lakini kabla sijafanya chochote nilisikia sauti za watu wakifanya mapenzi!
  nilijaribu kupiga cm yake akawa hapokei
  nikaamua kurekodi sauti kupitia dirishani kwake!
  mchezo huo ulidumu takriban DK45
  ndipo nikapiga tena akapokea ila akawa haongei !
  kwa jinsi nilivyompenda nilijipa moyo na kuondoka mpaka pembeni na nyumba yao nikakaa mpaka alfajiri ili nione nani atatoka ndani kwani niliamini aliingiza mtu bila wazazi kujua hivyo lazima atatoka mapema,
  Lakn cha ajabu ilipotimu saa 11 alfajiri nikampigia tena cm akapokea nilipomweleza kwamba amenisaliti na kwamba nimeshuhudia nikiwa dirishani alianza kulia na kushindwa kuongea,!
  mpaka kunakucha hakuna mwanaume aliyeonekana akitoka nje ndipo nilipoanza kuamini inawezekana alikuwa na baba yake mzazi kwani kipindi hiki hakuna kijana anayeishi hapo,
  Kesho yake alikuja kwangu nikampa cm asikirize nilivyorekodi dirishani alisikiliza mwanzo mpaka mwisho akaanza kulia
  akasema hakuwa na mwanamme ila alilala peke yake!
  Kingine kinachofanya naamini anatoka na mshua wake:-
  >yeye ni mtoto wa pili ktk familia ila anapendwa na baba kuliko watoto wote hata kadi za benki anatunza yeye!
  >Haelewani na mama yake mzazi kila kitu ananunuliwa na babake!
  >nyumbani wako waschana 3 ila wengine wanalala chumba cha pamoja yeye analala peke yake na chumba chake hakina mlango,
  >Babake ni shabiki wa mpira mara nyingi akienda bar kuangalia mpira akirudi usiku wa manane humgongea dirisha huyu binti ndo amfungulie geti!
  >Japo alikiri kutoa mimba ya babake mdogo inasemekana aliwahi pia kutoa mimba nyigine ya babake mzazi kwani majirani wanadai mimba ya kwanza alitoa akiwa form2 ya pili akiwa form 3 na hii ya mwisho ilijulikana mpaka shuleni na ilifika miezi mitano ila cha ajabu familia ilikuwa kimya!
  >Maelewano ya kifamilia baina ya baba na mama yamepungua mpaka mama yake anataka kuondoka!
  >watoto wote wanamtetea mama ila binti anamtetea baba na kusema mamake ana tabia mbaya!
  Wadau mnaonizidi umri naombeni ushauri wenu,nampenda sana na nimeshajipanga kumwoa hata yeye ananipenda sana kwani alinivumilia nikiwa katika kipindi kigumu kimaisha, Ila katika hili niko njia panda...!
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,255
  Likes Received: 7,077
  Trophy Points: 280
  Hongera zako Mpwa, ashapata ujuzi huyo, safi sana ni jambo la heri sana hilo kwasababu baada ya hapo huna tatizo na Mkwe hata punje
   
 3. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kabila gani huyo binti?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,057
  Trophy Points: 280
  kama kaamua kutoka na baba yake, basi wewe toka na mama yake
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,119
  Likes Received: 3,967
  Trophy Points: 280
  kama uliyoyaandika ni ya ukweli huyo dada hafai kabisa,
  tena itakuwa laana hata kwa kizazi chako kwa kuwa umejua kabla ila ukaamue kuzima masikio.
   
 6. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Niliwahi sikia eti kabila fulani huu ni utaratibu wa kawaida, umeshapata sikia fununu hizi mkuu?
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,958
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  Kimbia balaa hilo...hutamuweza huyo kamwe. Hajui kitu gani cha kuogopa na kitu gani hakina tatizo kufanya?
   
 8. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,880
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  hakufai kabisa huyo mwanamke achana nae usije ukaishi nae baade akaja kutoka na watoto wake wa kuwazaa kabisa
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,071
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole sana. Dah yan nmejikuta natetemeka kuandika. Hiyo hali ipo na kuna binti flan wakati nasoma a-level, yeye ilikuwa live na alikuwa akimtukana mamayake na kugombana nae kama mke mwenzie,na kadri siku zilivoenda,akahamia kwenye apartment yake na dady wake ndo alikuwa akilipa. Nasikia kaolewa na ana watoto now.
  Back 2topic: ingawa binti anaonekana mapepe,Tumia hekima na busara,Kaa nae umwonye tena,then kama unandugu zake unaelewana nao em ongea nao wakusaidie,then kama unania nae muhame mkoa kabisa,nadhan angalau itasaidia,then after najua utakuwa ushapata njia on how to-mdhibiti yeye.
   
 10. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kimbia kabisa huyo mwanamke atakuharibia future yako. Afadhali umegundua mapema lakini usitumie kigezo cha kupenda ili ubaki naye!
   
 11. C

  CAY JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 500
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka,wanawake wapo wengi,achana na huyo binti.Huo upendo ulionao kwake huko mbeleni utakusumbua na utajilaumu.Afadhali ufanye maamuzi magumu angali mapema.

  Embu jiulize,ukimuoa hutamrusu aende kwao?Akiwa kwao utakuwa na amani gani?.
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hii story naona kama ni ya kucopy and paste angalia hizo sign mstari wa 3-9 toka chini.............siku njema
   
 13. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,880
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  utakuja kulea watoto ukidhani ni wako kumbe ni mashemji zako(watoto wa huyo mzee)
   
 14. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kama unataka nuksi kwenye maisha yako na mikosi basi muoe huyo kicheche mwitu!
   
 15. m

  mchaurembo Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  take, hit and run....acha ujinga wewe, huwezi kuendelea kumpenda mwehu huyo...na kama hiyo ndo tabia yake nakuhakikishia ukimuoa mshua wako naye atamega... au humtoshelezi? maana inawezekana yeye anawashwa wewe unamwambia "subiri ndoa baby" soma alama za nyakati..
   
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,128
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Una moyo!
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,989
  Likes Received: 5,150
  Trophy Points: 280
  hafai huyo
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Makubwa
  ana pepo
  tena likatolewe kwa tb joshua
   
 19. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,578
  Likes Received: 23,058
  Trophy Points: 280
  Swts mi penda wewe una maneno ya busara sana
   
 20. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka haiitaji elimu ya phd kuwa hafai hata ukimuoa utajikuta na wewe unatoka na binti yenu.

  Najua unampenda lakini upendo wakweli haufumbii macho jambo lililo ofu, hupaswi kumapa nafasi hata ya kumsikiliza kwani atakufanyia sana utamuonea huruma.
   
Loading...