Jamani Kongosho muite Asprin aje aklozi huu uzi. Kama mpaka sasa Fundifundisho hajawaelewa wadau basi tena!
bwana weee kiranja mkuu kadai kipindi kiandaliwe muda si mrefu sasa tena si unajua hawa ndo wanaulizwagwa na wakaguzi siku wakija shule kukagua kama walimu wanahudhuria darasani imebidi niwe mpole tu ila asipoangalia namtwanga bora la home work hata kabla kipindi hakijachanganya!mi huyo besdeini!Mwalimu mbona hatukuoni kwenye besdei?..au umepata evening class?
Halaf mkisemaga marinda nakumbukiaga suruwali zangu za miaka hiyo..
lipo unalolitafuta weye!.ile kitu inapomeza mwenzie!lolest.bado still sijaelewa lol
lipo unalolitafuta weye!.ile kitu inapomeza mwenzie!lolest.
nilitaka nishangae hili swali lisije kipande hii!inawzekana hata wewe hujaelewa lol
muulize vizuru mwenzio
'we umewahi pinduliwa marinda'?
nilitaka nishangae hili swali lisije kipande hii!
Siongezi neno nitaharibu bure.......................
uh!:yo: asavali manake was nailed ile mbya!karibu tena lol