Kama unaamini ana pepo, na unaimani unaweza kumsaidia akapona basi msaidie. Sio wote wenye mapepo wanajua na kuna wanaojua lkn wanaona aibu kukiri.
Chakufanya, ongea na mtumishi wa Mungu yeyote, mueleze tatizo la mchumba wako na mpange appointment ya kumpeleka akapate msaada. Wakati unampeleka usimwambie kama unampeleka kwny maombi ila unaweza kumuomba akusindikize mahali, au mnaenda matembezini.
Mkifika kwa mtumishi basi atapata msaada wa maombi japo atachukia akigundua kusudi lako lkn utakuwa umemsaidia sana na atakushukuru baadae.
Pole kwa matatizo