Mchumba wangu anapepo linalonichukia

Mchumba wangu anapepo linalonichukia

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,691
Jamani naomba msaada wenu.

Nina mchumba wangu nampenda sana. Ila anapepo linalomsumbua na nimejihakikishia kuwa hili pepo linanichukia mimi sana.

Hili limekuwa likimpanda tukifanya mapenzi. Akikaribia kufika kileleni anapoteza fahamu, mdomo unafunga na meno kukaza na hawezi fungua mdomo wala kuongea. Ninapojaribu kumuongelesha anaongea kwa ishara za mabubu. Ila nachoelewa ni kuwa ni kama vile ananiomba nimpeleke nyumbani.

Huweza poteza fahamu zaidi ya hata dakika 50. Na hurudisha fahamu baada ya kumwagia maji ya baraka na kumvalisha Rozari Takatifu.

Hii imetokea kwa mara ya Tatu hivi sasa. Anaporudisha fahamu huwa namueleza na anakataa kabisa kuwa hana mapepo na yupo sawa.

Hii mara ya mwisho nilimrecord video na kumuonesha baada ya kupata fahamu. Lakini bado anakataa mpaka sasa kuwa yupo sawa na hana mapepo.

Kibaya zaidi anachukia sana napomsisitiza kuwa anamapepo na aende kanisani kuombewa. Yani nikimsisitiza kwenda kanisani anapata hasira ya ajabu mpaka mimi naogopa.

Wakuu hebu nishauri nifanyeje hapa. Nampenda ila anamapepo na hataki kuombewa.

Na hili pepo ni kama vile ndyo linapeleka mwisho wa mapenzi yetu maana sikuhizi ni kama vile hanipendi baada ya kujua anapepo.

Na si ivyo tu. Nahisi hata hilo pepo linanisababishia misukosuko hata niweze kupoteza maisha. Hivi karibuni nimepata ajali ya gari ingawa gari lilikuwa written off, ila kwa neema za Mungu nilitoka salama bila hata mchubuko.

Biashara zangu nazo sikuhizi ni hasara tu. Sina bihshara kubwa kivile, ila ndani ya miezi mitatu ninahasara ya zaidi ya 20m, nakaribia hata kufirisika.
 
Jaman naomba msaada wenu.

Nina mchumba wangu nampenda sana. Ila anapepo linalomsumbua na nimejihakikishia kuwa hili pepo linanichukia mimi sana.

Hili limekuwa likimpanda tukifanya mapenzi. Akikarbia kufika kileleni anapoteza faham, mdomo unafunga na meno kukaza na hawezi fungua mdomo wala kuongea. Napojarbu kumuongelesha anaongea kwa ishara za mabubu. Ila nachoelewa ni kuwa ni kma vile ananiomba nimpeleke nyumbani.

Huweza poteza faham zaid ya hata dakika 50. Na hurudisha fahamu baada ya kumwagia maji ya baraka na kumvalisha Rozari Takatifu.

Hii imetokea kwa mara ya Tatu hivi sasa. Anaporudisha faham huwa namueleza na anakataa kabisa kuwa hana mapepo na yupo sawa.

Hii mara ya mwisho nilimrecord video na kumuonesha baada ya kupata faham. Lakn bado anakataa mpaka sasa kuwa yupo sawa na hana mapepo.

Kibya zaid anachukia sana napomsisitiza kuwa anamapepo na aende kanisani kuombewa. Yani nikimsisitiza kwenda kanisani anapata hasira ya ajabu mpaka mimi naogopa.

Wakuu hebu nishaur nifanyeje hapa. Nampenda ila anamapepo na hataki kuombewa.

Na hili pepo ni kama vile ndyo linapeleka mwisho wa mapenzi yetu maana sikuhiz ni kama vile hanipendi baada ya kujua anapepo.

Na si ivyo tu. Nahisi hata hilo pepo linanisababishia misukosuko hata niweze kupoteza maisha. Hivi karbun nimepata ajal ya gari ingawa gari lilikuwa written off, ila kwa neema za Mungu nilitoka salma bila hata mchubuko. Biashara zangu nazo sikuhiz ni hasara tu. Sina bihshara kubwa kivile, ila ndan ya miez mitatu ninahasara ya zaid ya 20m, nakarbia hata kufilisika.
Man whatch out...kama kweli umemdhibitishia kuwa ana shida lakin bado hataki na anaelekea kukuchukia basi ujue anaifaham shida yake, na ni ya sikunyingi na anajua kuwa anayo..

Hapa mawili.. moja hataki ww umuone mbaya ili umuache..
Lakin kama imefika wkt mambo yako nayo yanaenda vibaya ,ujuwe kuwa you have messed na spiritual side ya huyo mwanamke, either mizimu, au mapepo yataanza ku fight back usimdhuru mtu wao. Na ikianza hivyo ujuwe, wataanza ku attack uchumi na afya yako...

So man kwa usalama wako, msaidie ila kuwa makini sana, nenda kwenye maombia sana.. protect kila kilicho chako.. lakin akionyesha kuwa haeleweki.. break up itakuwa kwa faida yako.
 
Herad bana, we utakuwa na pepo na chadema afu huyo mchumba ana pepo la ccm.

Vp gari iliyopata accident uliuza au bado inaiangalia tu.
 
cha kukusaidia, niache nikae nae kwa mda wa siku 40.kwanini siku 40 ?

ni kwasababu ni namba ya mwanzo na mwisho... baada ya hapo huanza mwanzo kila kitu kwa upya, kama ana pepo au laana tunaibakiza kwenye izo 40... au mpeleke kwa ababa mchungaji akake ane
 
Jaman naomba msaada wenu.

Nina mchumba wangu nampenda sana. Ila anapepo linalomsumbua na nimejihakikishia kuwa hili pepo linanichukia mimi sana.

Hili limekuwa likimpanda tukifanya mapenzi. Akikarbia kufika kileleni anapoteza faham, mdomo unafunga na meno kukaza na hawezi fungua mdomo wala kuongea. Napojarbu kumuongelesha anaongea kwa ishara za mabubu. Ila nachoelewa ni kuwa ni kma vile ananiomba nimpeleke nyumbani.

Huweza poteza faham zaid ya hata dakika 50. Na hurudisha fahamu baada ya kumwagia maji ya baraka na kumvalisha Rozari Takatifu.

Hii imetokea kwa mara ya Tatu hivi sasa. Anaporudisha faham huwa namueleza na anakataa kabisa kuwa hana mapepo na yupo sawa.

Hii mara ya mwisho nilimrecord video na kumuonesha baada ya kupata faham. Lakn bado anakataa mpaka sasa kuwa yupo sawa na hana mapepo.

Kibya zaid anachukia sana napomsisitiza kuwa anamapepo na aende kanisani kuombewa. Yani nikimsisitiza kwenda kanisani anapata hasira ya ajabu mpaka mimi naogopa.

Wakuu hebu nishaur nifanyeje hapa. Nampenda ila anamapepo na hataki kuombewa.

Na hili pepo ni kama vile ndyo linapeleka mwisho wa mapenzi yetu maana sikuhiz ni kama vile hanipendi baada ya kujua anapepo.

Na si ivyo tu. Nahisi hata hilo pepo linanisababishia misukosuko hata niweze kupoteza maisha. Hivi karbun nimepata ajal ya gari ingawa gari lilikuwa written off, ila kwa neema za Mungu nilitoka salma bila hata mchubuko. Biashara zangu nazo sikuhiz ni hasara tu. Sina bihshara kubwa kivile, ila ndan ya miez mitatu ninahasara ya zaid ya 20m, nakarbia hata kufilisika.
Pole sana kwa hilo tatizo linalokutoke.
Kwa ushauri wangu unajua nini cha kufanya kumbuka Hata kitamu hukinai pia wagenga walisema Funga kombe mwanaharamu apite
 
Man whatch out...kama kweli umemdhibitishia kuwa ana shida lakin bado hataki na anaelekea kukuchukia basi ujue anaifaham shida yake, na ni ya sikunyingi na anajua kuwa anayo..

Hapa mawili.. moja hataki ww umuone mbaya ili umuache..
Lakin kama imefika wkt mambo yako nayo yanaenda vibaya ,ujuwe kuwa you have messed na spiritual side ya huyo mwanamke, either mizimu, au mapepo yataanza ku fight back usimdhuru mtu wao. Na ikianza hivyo ujuwe, wataanza ku attack uchumi na afya yako...

So man kwa usalama wako, msaidie ila kuwa makini sana, nenda kwenye maombia sana.. protect kila kilicho chako.. lakin akionyesha kuwa haeleweki.. break up itakuwa kwa faida yako.
Upo sawa mkuu hata mimi ndio nachoona hapo. Ila mimi huwa sikimbii tatizo huwa napenda kusolve tatizo. Labda ningepata njia ya kumsaidia kwanza.
 
Huenda hana pepo, ila wakati anafika kileleni huendo ndo anakuwa hivyo, wengine hupoteza fahamu
 
Hupoteza faham na kuanza kuongea kwa ishara kama bubu. Yan unamuongelesha yeye anajibu kwa ishara.
 
kaeni chini wewe mchumba wako na huyu pepo muyazungumze nadhani yamekaa kifamilia zaidi hamtashindwa kupata muafaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom