Mchumba wangu ananitesa jamani

nilimpenda kwa dhati na yeye analijua lkn cjui ni shetani gani kampata

Hamna cha shetani wala lucifer.. Huyo anafanya yote hayo kwa akili yake timamu.. Jiweke busy kama umemsahau (ni ngumu naelewa) ila ukiendelea kumtafuta na amekuchunia hiyo inaumiza zaidi..
Ikitokea mmeachana na ukapata mwingine usimtambulishe kwa jamii nzima, utatambulisha wangapi??
 
Nashndwa Kukushaur 7b unaonekana umekufa umeoza kwa huyo jamaaaa!! ILA YANN KUMNGA'NGA'NIA ASYEKUPENDA??? KWAN ULIZALIWA NAE?? Afu inaonekana mlikuwa mnazin,hujui zinaa haramu??tubu kwa mola!
 

Pole dadangu na kama kweli unampenda then fught for your love mana yawezekana kuna mtu kaingilia uhusiano kwa sabab ya kuona labda jamaa ana hela na vitu vngne kama dada zetu walivo na tamaa,fight for your love n u wil win
 
mwambie akuambie ukwel km anakpend au hakupend,.
 
umejifunza, mambo ya kutambulishana fasta fasta sio mpango..endelea na maisha yako...huyo kashasepa
 
Nahisi wewe ni mgeni humu ndani, utapigwa bana usipoangalia!
don't let the new ID FOOL you Miss or whoever you are,mi ni born here-here friend...na katika hilo nililosema,kumekuwa na ka-trend ka machalii wanaleta zile habari za kwenye yale magazeti niliyoyataja ambayo huwa na kisegment I guess cha maanti sijui SUZY sijui anti Calorine wanaotoa ushauri wa maswali ya kizembe kama hayo ambayo yamevamia JF,mfano wa hayo maswali yaliyovamia JF;

1.U.me wangu mkubwa unanitesa,warembo wananikimbia sijui nifanye nini

2.Wake za watu wananipenda nifanyeje hii hali isiendelee

3.Boyfriend wangu sijui hapendi niishike simu yake blaa blaa blaa.....

n.k...

m

 

Pole sana! Acha kulalama hapa JF, chukua hatua!

Hivi matangazo huyaoni barabarani? Wapo wa kutoka Sumbawanga, Nigeria, Congo, Tanga na Kigoma hao wote wanarudisha wapenzi walopotea, au labda hapa mtaalam ni MziziMkavu, ambaye naamini atakushauri utumie kichwa cha nyoka!

Chukua hatua dada!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana! Acha kulalama hapa JF, chukua hatua!

Hivi matangazo huyaoni barabarani? Wapo wa kutoka Sumbawanga, Nigeria, Congo, Tanga na Kigoma hao wote wanarudisha wapenzi walopotea, au labda hapa mtaalam ni MziziMkavu, ambaye naamini atakushauri utumie kichwa cha nyoka!

Chukua hatua dada!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana! Acha kulalama hapa JF, chukua hatua!

Hivi matangazo huyaoni barabarani? Wapo wa kutoka Sumbawanga, Nigeria, Congo, Tanga na Kigoma hao wote wanarudisha wapenzi walopotea, au labda hapa mtaalam ni MziziMkavu, ambaye naamini atakushauri utumie kichwa cha nyoka!

Chukua hatua dada!
 
Last edited by a moderator:
hakuna mapenzi hapo,inabidi ukubali tu maumivu.
LAKINI USIJARI COZ MAUMIVU YA JANA HAYAFANANI NA YA LEO,NA YA LEO HAYAFANI NA KESHO IPO SIKU YATAISHA..
 
walio wengi wakitaka kuachana na mtu hizo ndo huwa dalili zao kwa hiyo bi dada akili mukichwa
 
we kweli mgeni kwenye malavidavi......Ukiona manyoya ujua ameliwa
 
P
We ni she/he?
 
duh umeanailize vizuri mpka nimeridhika roho yangu!!
 
..ila hujasema ni how long amekata mawasiliano,,, isijekuwa ni cku 1 tuu,,, tujuze tafadhali...
 
ubaya wa mapenzi ni kwmba hayashauriki i have been in the same situion lakini kila niliposhauriwa nilikuwa kichwa maji,sisikii la muadhini wala la mchota maji cha msingi jua kwamba huyo kapunguuza mapenzi na wewe so tafuta sababu kwa nini kapuguza mapenz na wewe then ufanye maamuzi hapa utapewa ushauri tu maamuzi ya mwisho unayo wewe!!,kuwa tayari kwa lolote
 
:disapointed::disapointed::embarrassed1::smile-big:
 

pole sana, wewe sio chaguo lake alikuwa na wewe kwa sababu ya kitu fulani tuu!! tafakari then chukua hatua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…