kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,862
- 3,098
Soma takwimu za sensa na makazi ili msisumbuwe watu.Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi
Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
Wanaume wote someni hiki kipengele.Soma takwimu za sensa na makazi ili msisumbuwe watu.
Kuna shortage kubwa ya wanaume kwa nini usumbuliwe na mwanamke mmoja?
Nakazia.Nadhani hujitambui.
Siku ukijitambua utajua ulikuwa unafanya makosa makubwa sanaaa.
Simu uitakayo ni yako?
Kenge wewe
Wew ulifata simu au kipochi manyoyaa mkuu??Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi
Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
HaahahahaahahahahaKwa mwandiko huu hata mimi nakukimbia
tayari kapigwa na kitu kizitoKuna mambo unaweza dhania ni stori kumbe Kweli,Yaani matumizi unatoa,Kodi unachangia,halafu anakuonea aibu Kwa majirani,na Bado unalia Lia Jf?
Hahaaa!!Kwa mwandiko huu hata mimi nakukimbia