ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Kwa nini aasili mtoto wakati anaweza kuzalisha mtoto kwa mwanamke mwingine, kama shida ni mtoto akubaliane na mke wake azae nje apate mtoto.
Au kama anaweza aoe mke wa pili ambae ana uwezo wa kuzaa maisha yaende.
Kikubwa mimi namshauri atafte mtoto kwa mwanamke mwingine.
mi nimemshauri tu sasa ni jukumu lake kuona ushauri upi ni mzuri.
Huwezi jua yawezekana nayo hiyo ni mipango ya Mungu kuwa asiwe na mtoto. Kuna watu wamezaa na leo hii wanajuta kuzaa,watoto wamekuwa mzigo. Ni vyema asilazimishe kuzaa, ajiulize mara mbilimbili ni kwa nini Mungu kaamua iwe hivyo.