Mchumba wangu ana madeni balaa

waambie madada wa jf walionifollow kule Instagram wapunguze kasi Zao hasa Yule Nuru Juma, Teacher flani na nanihii nimewaelewa sana.. Lakini kuna mmoja nadhani yule ni dada wa Mjini mjini lakini jina sikutajii

Mkuuu hebu ni pm inta accunt yako....!nkufollow...
 

wee wenyewee anakudaii miaka yote unamkopa ujawahi mlipa
 
Mkuu kua makini YATALETWA MATARUMBETA HAPO KWAKO MUDA SI MREFU so jiandae
 
Kuwa makini yawezekana ana michepuko yke mitaa hyo kwahyo anakuzuga cz ashakuona ww ni muoga wa maden hata baadh ya simu anaweza asipokee akakuzuga ni mden kumbe mchepuko
 
ana stress za kuolewa huyo...ukimuoa yote hayo yataisha
 
Mi uchumba wangu ulidumu miaka nane nikamuoa, bro kanipiga gap
 
Mfungulie account ya bank kila week iweke pesa... mpe ATM card yake na password.
 
dawa ya deni kulipa,sasa yeye anavyoyakimbia madeni ina maana hayupo tayar kulipa,atakua na elements za utapeli uyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…