Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,003
Iko kama ifuatavyo:-
1. Nilimpenda mdada fulani hapa Sengerema, muda huo alikuwa anasoma chuo cha ualimu huko mkoani Mbeya.
2. Ndugu zake walifahamu mahusiano yetu na hadi ilifikia kuitwa shemeji na dada zake.
Kisa:-
Nilianza kuchepuka na kibinti hapo mtaani. Aliporudi toka masomoni akapewa faili zima nami nikakanusha vikali. Alisafiri kwa mwezi, ndo akaniachia nafasi ya kukagegeda hako kasichana.
Juzi karejea akapewa umbea wote na aliponitafuta kunihoji ilibidi nikiri na kuahidi kutorudia alipanga kunitambulisha kwa dada yake lakini ameairisha, mama yake amejua skendo nzima, na nduguze wote wamejua.
Ameniambia hataki tena kuolewa na mimi kiukweli mimi nampenda na namtaka sana huyo mchumba wangu mhitimu wa ualimu ngazi ya cheti.
Mimi ni mwalimu kijijini kwao.
Nitumie mbinu gani kumshawishi tena?
Naomba ushauri, kama sijaeleweka jaribuni kujiongeza maana nimevurugika kiakili.