Mchumba wangu ameamua tuachane

Dear What the kid has to do na break up yao? I call it irresponsible parent to any Father does that.. Thanks..
Wanawake bana. Kwahiyo akili ya huyo mwenzio kujiingiza ktk mahusiano wakati ana mtoto mdogo wa kunyonya huoni anatengeneza mazingira ya sintofahamu. Kwa akili ya kawaida tu unaweza kuanza kuhoji mtoto ni wa jamaa au vipi?
Jamaa akimsusia atatafutwa tu. Au anaweza asitafutwe pia mtoto anaweza akawa yupo kwa babake. Mwanamke type hiyo hana maana hata kidogo.
 

Still you didn't answer my question what the child has to do na mistake ya Huyo Dada? I think the baby has to be left out of this crazy mess na jamaa has to take care of that baby since the child is his .. Thanks..
 
Elimu yako na yake now dys hayo ni lzm yangetokea. Jipange upy kuanza sfr nyingine
 
Still you didn't answer my question what the child has to do na mistake ya Huyo Dada? I think the baby has to be left out of this crazy mess na jamaa has to take care of that baby since the child is his .. Thanks..
How sure r u the kid is his? mtoto yuko kwa babake (biological one)
 
pole sana kaka yangu, huyo hakuwa fungu lako. mshyjuru Mungu kakuepusha mapema, ila km hukumtenda vbaya ipo cku atajutia na kukumbuka.
mapenzi ya dhati hayachagui elimu mcmdanganye jmn. kuna watu wanaelimu kubwa lkn wanaoa hta ambae hajasoma na anampnda na kumheshimu pia. kwny mapebz ya dhati hakuna elimu, kabila, rangi wala hali ya uwezo wa mtu.
 
Achana nae!Anafanya research ya mahusiano na ndoa siku akikamilisha ataamua mwenyewe aje kwako ama abaki kwingine!Ila bahati mbaya hiyo research huchukua muda mrefu inaweza kuisha akishaanza kuzeeka

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cha msingi kaka fikiria kutafuta ela tu mapenzi siku hizi hayana mjuzi wala formula, ila mtoto husiache kumlea ata ukipata kumi we mtumie tu maana hasije kumuambia ata mtoto kuwa baba yako ndio alitukimbia hawachelewi hawa.
 
How sure r u the kid is his? mtoto yuko kwa babake (biological one)
According on his thread the baby was born in October ,2015 during this time everything was okay ingawaje some problem za hapa na pale za relationship zilikuwepo but it was not cheating involve and he did not say that he has doubt ya kuhusu the baby if she is his or not ... About grandma I did not see kwa thread kama the baby yuko kwa grandma wa baba or mama , it just grandma Dar.. And you dear, you tried to convince him asuse the baby hadi mama aamtafute , why it has to be that way? And why the inocent blood a new born has to pay something she did not create ?? He is not suppose to do that.. He has to be responsible for his daughter unless his ex says that baby is not his ( which I doubt it )... I hope you got my point .. Thanks..
 
Hao wanaokuja kugundua watoto sio wa kwao wanakuwa katika mazingira yapi? Kifupi huyo mwanamke mwehu. A kid needs both parents' attention, love n care. Huo upuuzi alioanzisha huyo mwanamke ataumaliza mwenyewe. Asusiwe mtoi tu
 
Umeongea point loveissweet ila napenda kukuliza kwanini mara nyingi mwanamke akimzidi mwanaume elimu au fedha wanaanza kuleta kiburi na dharau kwa wanaume zao??
 
Nadhani kuna tofauti kubwa kati ya elimu tunayosoma huku dunia ya tatu na huko dunia ya kwanza....maana huku dunia ya tatu elimu baada ya kumpa ustaarabu na ufahamu mwanamke badala yake inamjengea kiburi kikubwa sana mwanamke.....huku afrika mwanamke kadri anavyopiga hatua kielimu ndivyo anavyokuwa na kiburi na jeuri.....Mimi binafsi ninawafahamu mashemeji zangu zaidi ya watano maisha yao na tabia zimebadilika baada ya kupata elimu tena kwa msaada wa waume zao ambao hapo mwanzo walikuwa wakiwaheshimu sana....

Hali hii ipo tofauti na wanawake wa kizungu ambapo unaweza kumkuta mwanamke wa kizungu ambaye ni phD holder akawa yupo kawaida tu....lakini mwanamke wa kiafrika akiwa na kiwango hicho cha elimu anatamani hata awe anawatemea usoni.....nadhani kuna kitu katika elimu ya kizungu....
 
Nataka nikuoe dada je tutawezana....mimi standard seven na wewe phD holder.....???






Joke
 
Mkuu futa machozi songa mbele lakini unatakiwa kujua kuwa mwanamke wa kiafrika ajaumbwa na mungu kumiliki ni tofauti na wenzetu weupe mwanamke wa kiafrika akisema anakupenda ujue kuna kitu tu akipenda kutoka kwako bado watu weusi tunapenda vitu si mtu si jambo la kushangaza kusikia mtu anasema nampenda mtu mweusi, Au napenda mtu mrefu Au napenda mnene Au mwenye nundu Au mwembamba bt tumesahau kuwa vyote vinaweza kuondoka mnene akawa mwembamba na mwembamba akawa mnene

lakini kama umempenda mtu coz kama umempenda frank hawezi kubadilika akawa juma hata siku moja still atakuwa frank tu ni tofauti na wenzetu weupe yy akisema nakupenda anamaanisha kweli unaweza kuwa nae miaka yote asikwambie nakupenda coz neno nakupenda ni neno kubwa sana ila watu weusi tumeligeuza ni fursa inawezekana ulivyokuwa machinga wakat yy yupo chuo alikupenda coz ulikuwa unampiga pamba so now anauwezo wa kununua pamba mwenyewe so umeonekana ni jipu

cjajua Kwa mwanawake weusi wa nje kama na wenyewe wana tabia kama za wenzao ktk genetic bt naamini nyani wa kufuga ni tofauti na nyani wa porini so inawezekana wakawa tofauti kidogo na wa huku
 
Sisi wenye elimu ndogo tunanyanyasika sana daaah hili darasa la saba la mkoloni nitapata mchumba kwelii kwa mwendo huu??! Anyway piga chini hiyo mwanamke.fanya kazi kwa bidii lea mtoto wako vizur.maisha yatakuwa pouwa tu.na kamwe usimrudie ni jipu
 
Kijana acha kulialia nenda darasani, kakuvumilia sana uchumba gani huo!
 
Anza kutumia ubongo wako. Usiache moyo ukutawale. Utabaki una lilia lia tu. Cha kufanya mwambie we unataka kumtunza mwanao . Achana na huyo mdada.

Ye amesha Pata maisha mapya na wewe tafuta yako. Kuwa mwanaume acha kulia lia.
Yote yanawezekana. Lakini sio rahisi hivyo. Mapenzi yanauma zaidi ya mwiba mguuni. Wewe yasikie tu kwa mwenzio
 
Huyo wake atakuja kama HANA PESA?
Cha kumshauri atafute pesa tu;akiwa na pesa hao viumbe hawasumbui atachagua yyt ampendaye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…