TATA PANYA
Member
- Jul 26, 2013
- 54
- 8
wanawake wa mjini weeengi tunajikalolaitisha sijui ukisema umuache utabadili wangap
kumbe ....wanawake wa mjini weeengi tunajikalolaitisha sijui ukisema umuache utabadili wangap
Sio kweli wapo wanaotumia mafuta ya nazi tu, mkuu piga chini mi siweze hata kumpiga busu dem anayejichubua lol
je kama kawa mzuri zaid?
Na wewe mchubue na dushelele lako.
shauri gani sasa hizi?
teh teh teh teh nenda kalale