Coke Zero JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 1,024 Reaction score 544 Jun 12, 2015 #21 Huyu jamaa lazima atakuwa domo zenge,kwa ulimwengu huu wa digital unataftiwa vipi mwanamke ukakubali??,inabidi tumtaftie ngozi ya fisi na mishale maana bado yuko kwenye ulimwengu wa STONE AGE
Huyu jamaa lazima atakuwa domo zenge,kwa ulimwengu huu wa digital unataftiwa vipi mwanamke ukakubali??,inabidi tumtaftie ngozi ya fisi na mishale maana bado yuko kwenye ulimwengu wa STONE AGE
Coke Zero JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 1,024 Reaction score 544 Jun 12, 2015 #22 Purple said: Huyo ni mvulana au mwanaume?nijuavyo wanaume hua wana misimamo na ni ngumu sana kufanya jambo kubwa kama kuoa kwa kulazimishwa Click to expand... Huy lazma atakuwa mvulana wanaume hawako hvyo!
Purple said: Huyo ni mvulana au mwanaume?nijuavyo wanaume hua wana misimamo na ni ngumu sana kufanya jambo kubwa kama kuoa kwa kulazimishwa Click to expand... Huy lazma atakuwa mvulana wanaume hawako hvyo!
definition JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 972 Reaction score 1,584 Jun 12, 2015 #23 kulazmishwa oa..!!??
Homboi Member Joined Jun 10, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Jun 12, 2015 #24 Ame lazimishwa?? He must be dumb... Mwanaume gani analazimishwa kuoa?