Mchumba wa rafiki yangu ametoa mimba

daa!kiukweli waliotoa mimba huwa napenda xana na wenyewe wafe palepale!

hujui zingine ni kwa ajili ya kulinda ya mama,inakuwa ni lazma atoe,..huna dada?mama ama ndugu wa kike?wataponea wapi na huo msemo wako
 

Mimba kutolewa ni pale tu inapitishia maisha ya mama. Kwa kifupi huyu dada sio mzima kiakili na kama atafanikiwa maishani atamkumbuka huyo mtoto kimwil hayupo but kiroho anaishi.
Narudia ni uvivu wa kufikiri.
 
hilo ndo kubwa kwa kweli, ndo yashatokea hivyo
 

sasa wewe unataka dawa au unataka tujue kuwa wifi yo katoa mimba enheee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…